Wizi na unyonyaji kwa wasanii wa kibongo utaisha lin? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi na unyonyaji kwa wasanii wa kibongo utaisha lin?

Discussion in 'Entertainment' started by Nsajigwa kapange, Jan 11, 2012.

 1. N

  Nsajigwa kapange New Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi karibun kumeibuka malalamiko mbal mbal kutoka kwa baadhi ya wasanii wakidai kunyonywa na baadhi ya mameneja wao kwa mfano msani kapiga show ya milion moja na yeye anapewa laki1 je ni haki hi na ndio maana wengine wameamua kuanzisha makundi{magenge} ya kudai haki zao kwa mfano ant virus
   
Loading...