Wizi mwingine wa vodacom huu hapa

Wizi mwingine wa vodacom huu hapa

kituro

Senior Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
176
Reaction score
15
Ndugu wana jf,

Mimi ni mteja & nbsp; wa siku nyingi & nbsp;wa vodacom, ila kitu ambacho nimeona wamekuwa wakitangaza vingine na kutekeleza kitu kingine mala nyingi ambacho hunisababishia hasara mala nyingi nisizotarajia.

mfano mala nyingine wanakuambia lipia shilingi kazaa utumie internet bila kikomokwa muda wa siku 30 lakini ukishajiunga unadownload kiasi ghafla utaona mtandao upo slow na badae unaambiwa umetumia mb kadhaa hivyo utaendelea kutumia kwa spidi ya kawaida ambayo hata kudownload haiwezi, pili ukibonyeza *149*01# ukienda kwenye vifurushi vya wiki utakutana na kifurushi cha pili ambacho kinatoa dakika 140, sms bila kikomo na MB kiasi kikubwa tu.

cha ajabu ukisha jiunga tu wanakuletea sms inayoonesha kiwango cha dakika utakazotumia, idadi za sms na kiwango cha MB, ingawa wanatoa sms nyingi lakini siyo bila kikomo kama wanavyotangaza mwanzo.

ndugu mie nawajurisheni wale msiojuwa habari ndiyo hiyo.

kwa hili sijui ni nani wa kutusaidia!

Ndugu wana jf, mimi ni mteja wa siku nyingi wa vodacom, ila kitu ambacho nimeona wamekuwa wakitangaza vingine na kutekeleza kitu kingine mala nyingi ambacho hunisababishia hasara mala nyingi nisizotarajia. mfano mala nyingine wanakuambia lipia shilingi kazaa utumie internet bila kikomokwa muda wa siku 30 lakini ukishajiunga unadownload kiasi ghafla utaona mtandao upo slow na badae unaambiwa umetumia mb kadhaa hivyo utaendelea kutumia kwa spidi ya kawaida ambayo hata kudownload haiwezi,

pili ukibonyeza *149*01# ukienda kwenye vifurushi vya wiki utakutana na kifurushi cha pili ambacho kinatoa dakika 140, sms bila kikomo na MB kiasi kikubwa tu. cha ajabu ukisha jiunga tu wanakuletea sms inayoonesha kiwango cha dakika utakazotumia, idadi za sms na kiwango cha MB, ingawa wanatoa sms nyingi lakini siyo bila kikomo kama wanavyotangaza mwanzo.
ndugu mie nawajurisheni wale msiojuwa habari ndiyo hiyo!

kwa hili sijui ni nani wa kutusaidia!

Wizi mwingine unakuwa kwenye kuongea,japo wengi hawalifahamu....ni hivi piga simu kwa mtu ambaye umesimama naye jirani ili iwe rahisi kufanya comparison,tumia kama dk nzima..then check muda mliotumia kati ya aliyepiga na aliyepokea...utakuta aliyepiga sekunde zipo mbele zaidi kuliko aliyepiga....kuhakiki aliyepigiwa naye apige then uone tena nini kitatokea....HUO NI WIZI MOJAWAPO UNAOFANYIKA KWENYE MITANDAO YA SIMU,KWA DK 1 WANAKUIBIA SEKUNDE CHACHE ILA KWAO WANATENGENEZA FAIDA KUBWA,NILIIGUNDUA MUDA SANA BAADA KUMPIGIA JAMAA AMBAYE ALIKUWA JIRANI BILA KUJUA THEN NIKAMLALAMIKIA KUHUSU SEK ZANGU,NDIPO KILA MTU AKAONESHA SEC.ZAKE,HEE SITUKAJARIBU TENA....TEST

me nimehamia zantel toka juzi, honestly nlichoka sana na voda nikaona isiwe kesi coz hii si ndoa ya kikristo nakawapa talaka fasta. Wezi sana kiukweli na ukinunua kifurushi halafu kikaisha wanakula credit zako zote ndo wakutumie msg dat umemaliza kifurushi.

uhun kama huo ndiyo unaniudhi sana mimi nitawakimbia sio muda

Unlimited bundle za vodacom zinafanya kazi kwa staili mbili. Ni wewe ndie hukuelewa

Unaponunua unlimited ya siku 30 unapewa dedicated bundle ya 3gb halafu hiyo ikiisha inajiset kwenye shared speed ya 64kbps. Hii speed ni virtually ndogo kwani kwenye cluster mkiwa kwa mfano 20 ina maana kila mtumiaji atapata 3.2kbps speed ambayo kwa kweli haiwezi hata kufungua page ya kawaida tu

Nakushauri ndg yangu usome hizo bundle na kuzielewa kwanza kabla humjalalamika

Wizi ambao karibu mitandao yote wanafana kupitia internet ni hizi hapa

1. Unapewa internet wakati mwingi network haipatikani hata saa nyingine mpaka bundle yako inaisha
2. Unapewa shared internet ( unlimited) ambayo imesheheni watumiaji wengi kiasi cha kufanya hiyo bundle useless

Hapo #1 ndo airtel wanapojua kucheza napo hapo, afadhali hata ya voda utafaidi kifurushi chako!

Namna nyingine ya wizi ni pale wanapokwambia malipo kwa sekunde. Dakika moja ni sekunde 60 wanapokuibia dakika moja sekunde upunguzaw mpaka 45 au 47. kwa hiyo ukiongea sekunde 45 wanakata makato ya dkka 1 wakifanya kwa cku wanatengeneza pesa nyingi sana. na ktk nchi isiyokuwa makini wizi mwingine uko wazi ambao hata serikali inajua lkn serikali kwa maana ya viongozi wanakula cha juu. Tumaini ni nkwamba yanamwisho. siku zaja

me nimehamia zantel toka juzi, honestly nlichoka sana na voda nikaona isiwe kesi coz hii si ndoa ya kikristo nakawapa talaka fasta. Wezi sana kiukweli na ukinunua kifurushi halafu kikaisha wanakula credit zako zote ndo wakutumie msg dat umemaliza kifurushi.

Hii kitu ya kuliwa salio inanitokea sana,kumbe tuko wengi ila hatujuani

N
aona wanajiamini sana si wanawateja wengi? Dawa ni kuhama tuwaachie kampuni yao.

kiukweli hao jamaa wezi,wanatia hasira sana! mie nnampango wa kuachana nao kabisaaaa. kwa mfano juzi ijumaa niliunganisha bundle,ile naanza 'apps' network ikakata! Nikawafata ktk moja ya customer care center zao kariakoo.Kuna mdada mmoja wa wahudumu nikamweleza tatizo langu,jibu alilonipa likanishawishi kumuuliza "hayo majibu unayonipa ni ya ofisi au yako? Ki msingi voda ni washenzi na wameishjisahau kuwa wao ndo kampuni pekee.Mie kwasasa baada ya yule dada mpuuzi pale k'koo,niliamua kuachananao kabisa,nawe pia jitoe then tuone mwisho wa siku nani atapoteza zaidi,VODACOM-kazi ni kwako(kuhama au kubaki)

kweli kbsa no washenzi/wezi!, ss hapa nitakachofanya nachakachua modem yao ili nihamie zantel!
...na hata cm nitahamia huko zantel hawa washajisahau, bado na buku yetu wanataka
Wizi juu ya wizi

Mie nimehama vodacom baada ya kila nikijiunga bundle kisha nikitaka kuingia intanet eti,LINK NOT AVAILABLE TRY AGAIN LATER.
siku mbili sipati access ya intanet,nikatoa simcard yao natumia airtel,

voda internet kimeo,
mpango kuhamia airtel,

Mie nimehama vodacom baada ya kila nikijiunga bundle kisha nikitaka kuingia intanet eti,LINK NOT AVAILABLE TRY AGAIN LATER.
siku mbili sipati access ya intanet,nikatoa simcard yao natumia airtel,

me nimehamia zantel toka juzi, honestly nlichoka sana na voda nikaona isiwe kesi coz hii si ndoa ya kikristo nakawapa talaka fasta. Wezi sana kiukweli na ukinunua kifurushi halafu kikaisha wanakula credit zako zote ndo wakutumie msg dat umemaliza kifurushi.

very true huu wa kula salio ndo wakutumie ujumbe ni kweli

na wanatangaza wiki moja kwenye tangazo huku wakimaanisha siku tano za wiki

Mwenye kumjua Innocent Mungi humu atusaidie kumpasha habari au mzee kama upo humu.

Cc, Mh J. Makamba

Ndio sababu shule muhimu wale wataalamu watujuze maana tunatozwa au kukatwa pesa yetu kwa namna ya wizi kwa vile hatuelewi mambo. Kila mtu akiibiwa sekunde moja kampuni inapata faida kubwa sana!

Back
Top Bottom