pepo ya Mabwege
Senior Member
- May 18, 2017
- 138
- 117
Daah aisee hata sijakuelewa kabisa mahusiano hayo mara Dar mara Mbeya alafu story ikaendelea sijajua hilo tukio ni Dar au Mbeya. DilemmaKweli umeibiwa mkuu haukutaka hata kuelezea hiyo collabo ya Mlimani to Mbeya inafanyikaje
Dah,Wahudumu wa airtel mbeya branch na mlimani city(kaunta namba 4)(yule dada mnene anaevaa kama Malaya na kukaa mapaja yote yako nje kama barmed wa kangaroo )
Wanaangalia salio za wateja kisha wanafanya mipango ya kuwaibia wateja,
Mimi qamefanikiwa kukwapua 50,000=
Viongozi wa airtel fanyieni kazi ili muukomeahe huu wizi.
50,000 si utaniKweli umeibiwa mkuu haukutaka hata kuelezea hiyo collabo ya Mlimani to Mbeya inafanyikaje
acha kuchafua watu kwa kujificha Jf,una uhakika kuwa huyu dada?Wahudumu wa airtel mbeya branch na mlimani city(kaunta namba 4)(yule dada mnene anaevaa kama Malaya na kukaa mapaja yote yako nje kama barmed wa kangaroo )
Inawezekana alimletea pozi tu ameamua kumwaga mbogaacha kuchafua watu kwa kujificha Jf,una uhakika kuwa huyu dada?
mkuu elezea vizuri tujue story wana ibaje kwanzaWahudumu wa airtel mbeya branch na mlimani city(kaunta namba 4)(yule dada mnene anaevaa kama Malaya na kukaa mapaja yote yako nje kama barmed wa kangaroo )
Wanaangalia salio za wateja kisha wanafanya mipango ya kuwaibia wateja,
Mimi qamefanikiwa kukwapua 50,000=
Viongozi wa airtel fanyieni kazi ili muukomeahe huu wizi.
Eti aliibiwa kwa kumualika dinner huyu dada wakatumia naye elfu 50 alafu akamtongoza akapigwa chini ndiyo akaamua kuja kumchafua hapa huyo dada.mkuu elezea vizuri tujue story wana ibaje kwanza
aisee kijana anapepo la ngono na kuhonga, mi hata ukae uchi ikija mambo ya pesa weeee na badilikaEti aliibiwa kwa kumualika dinner huyu dada wakatumia naye elfu 50 alafu akamtongoza akapigwa chini ndiyo akaamua kuja kumchafua hapa huyo dada.