Epuka matapeli,
Kuna aina fulani ya wizi wakutumia simu una rindima hapa nchini.
Mtu ana kupigia simu akijidai ana kufahamu ana kupa dili ya biashara yenye faida kubwa ambayo ita kufanya uingiwe na tamaa mwisho wa siku una ibiwa wewe, hivyo epuka mtu usiemjua kufanya nae biashara yoyote kwa njia ya simu,email,Facebook ama whatsup.