Wizi mpya wa VODACOM !?

Serikali ya CCM haina hela! sasa hivyo ndivyo vyanzo vya kukusanya hela pole yetu hata mimi yameshanikuta sijui hili swala nipeleke Takukuru au wapi! hata hiyo Takukuru wote wezi pia.
Naweza kukubaliana nawe maana siku hizi mitandao ya tigo, na airtel wamekuwa wezi wakituibia air time. Huwezi amini siku hizi ukiweka vocha ya tigo buku hardly utaongea dk 3 kabla hujakatishwa kwa kuishiwa credit!loh huu wizi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…