Wizi mpya wa mtandao

Aise !!!
Mkuu em nipe maajuz huko Pm ,,nam pia niwe mwizi
 
Sasa kupakua game of throne ni ujanja?? Wenzako hayo tuliyayafanya miaka ya 2005!
I mean ile ina gb nyingi kwa kila epsod but still nimepakua mwenyewe within a week
Issue usije ukajifanya kusema haiwezekani wakati inawezekana,
kama ulifanya zamani unaweza niambia ni aina gani ya mawimbi yanatumika?
 
Aise !!!

Mke em nipe maajuz huko Pm ,,nam pia niwe mwizi
code tu zinaongea broo
google sana unapata njia moja unakuja nyingine mwisho wasiku unakuwa na njia nyingi
unaelewa aina za nertwork or mawimbi or security zake
then mwisho wa siku unakuwa unatembea tu, ukigoogle mambo kibao yako wazi nita kuattach pdf moja
 
Mkuu natilia shaka hiyo njia ya brute force kama inafanya kazi. Maana ukijaribu mara tatu (3) tu na kukosea unafungiwa huduma.

Sababu za kiusalama apps zote nyeti huwekwa hii feature.

Sasa combination ya namba 4 sijui utajaribu mara ngapi hadi upatie.

Wazee wa probability zile Permutation, Combinationa na factorial wataleta majibu.
 


Sawa Nakusubiri Mkuu na hiyo PDF.
 
Kwani ni lazima nitumie iyo App?
 
Wewe naye! Unakataa uwepo wao kisha unasema japo wapo ambao si waaminifu! Mwanasiasa uliyebobea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…