kupost kapicha ndo tukuamini...? au na wewe ni KICHAAHuu ni uongo mnazusha tuu, iko hivi mteja mpya akiwa na smartphone anaelekezwa a download app ya tigopesa ambapo atakuwa anafanya transaction ya miamala ya kifedha bila gharama kupitia tigopesa app. Haya ya kusema unaibiwa pesa na mawakala nakukatalia japo wapo wachache ambao sio waaminifu. Kumbuka mtu awezaye kukuibia pesa ni yule anayejua namba yako ya siri na upo karibu naye
View attachment 857499
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Haya ya utapeli kuwepo ni lazima kama nchi inaongozwa na vichaa we unafikiri wananchi wafanyaje
Wizi wa fedha kwa njia za kimtandao Tanzania upo sana. Lakini mara nyingi watu hawagundui kilichofanya waibie. Na baadhi ya wezi wanajaribu kuvuruga watu kwa kutoa tahadhari za njia mpya za wizi zenye kujaa uongo ili watu wasigundulie wanavyoibiwa. Tatizo kubwa kabisa linalosababisha wizi ni kuwa watanzania wengi hawako makini! Hili tatizo utaliona kila mahali. Kuanzia kufanya kazi, kuhudumia wateja, kuandika, kutunza siri nk. Huwa nashangaa kweli kweli napoenda kwenye ATM na kuona jinsi watu walivyo wazembe kwenye kutoa fedha. Unakuta foleni ipo karibu kabisa na mashine na watu wanatoa mimacho kama fundi saa. Na mbaya zaidi watoa fedha hawachukui tahadhari. Hii inachangia sana kuvuja namba za siri na wezi kuiba. Na kingine ni watu kuwa waongo. Kuna baadhi wanadanganya wameibiwa ili kukwepa majukumu. Na mwisho ni ushirikiano na wafanyakazi wa kampuni za simu
Hio number unaweza kubuniHuu ni uongo mnazusha tuu, iko hivi mteja mpya akiwa na smartphone anaelekezwa a download app ya tigopesa ambapo atakuwa anafanya transaction ya miamala ya kifedha bila gharama kupitia tigopesa app. Haya ya kusema unaibiwa pesa na mawakala nakukatalia japo wapo wachache ambao sio waaminifu. Kumbuka mtu awezaye kukuibia pesa ni yule anayejua namba yako ya siri na upo karibu naye
View attachment 857499
Ujue watu wanakalili yaaniHio number unaweza kubuni
tulia weweeHahaha ha nani Kakuambia Sifanyi Kazi?
Hakikisha Mtu Akitoa PesaVipi kuhusu laini za uwakala"
vipi kuhusu wale wanaouza laini za uwakalaHakikisha Mtu Akitoa Pesa
Kabla haujampa Cash ile figure ya float inasoma sawa kulingana na ile ilikuwepo kwa mara ya kwanza,
bora akakufokea unamchelewesha kumpa hela lakini ukawa salama
Haswa wanaotoa toa laki 3/Tano/Au 1m
inategemeana na jinsi unavyomfahamu mtu husikavipi kuhusu wale wanaouza laini za uwakala
Unataka Bank Zitangaze watu wajue kuwa kule una kuibiwa kwa mara kwa mara?Kama ni hivyo ,kwa maana halisi Haya makampuni ya simu hayana watu wa I T waliobobea yan wabunifu mbona kwenye mabenki sisikii
Tuwekane sawa kwanza. Ni kukariri na siyo kukalili! Hadithi zako umesikia wasiojua wenzako wanadanganyana vijiweni na wewe ukazibeba. Hizo hadithi zako za mambo ya ''kuajiliwa'' kampuni fulani ni njia nyingi wanazotumia wapiga fix kama wewe kujitapa.Sikia kijana usiishi kwa kukalili
Kujua namba ya siri hakukusaidii wewe kuweza kumuibia mtu edha bank au katika simu
Watu mnakutana ATM mmoja wa mbezi mwingine g/mboto Miwngine kibaha Utamwibiaje?
Watu simu zimejaa password utaibaje?
Naona Hapo juu umejitapa kuwa umesoma mambo hayo ila kwa tarifa yako hakuna chuo kinachofundisha hayo mambo
Ila kuna mambo ukisoma ndio yanaweza kukupa msaada namna ya kufanya jambo fulani.
Niliajiliwa kampuni fulani posta wakati fulani
Niliongea na boss kuwa nisimamie Data bundle ya Ofisi
Miezi Sita tulitumia netwok za ofis za jirani hakuna hata mtu ofisni alijua, Ile hela nilikuwa naiweka mfukoni nilipiga sana hela.
Lakini hizo ofisi nerwok zao haa sikuwahi kuziona mashine zao wanazotumia(Router)
Sasa najaribu kukueleza tu kuwa wizi wa kimtandao usifikirie upo kiwepesi kama unavyofikiria hivyo
Hao wanaosajili laini ni njaa zao tu zinawafanya wafanye hivyo na wala sio wote hufanya hivyo maana kupatikana ni rahisi kama wakiamua apatikane sababu anatumia simu.
Kwahiyo acha kukalili wizi upo tena hatari sana kuzidi vile unavyoelewa wewe,
Wateja wa airtel kuna kipindi walilizwa sana nadhani kama mnakumbuka vizuri lakini walijitahidi wadhibiti hilo kwa kubadili mfumo wa kiulinzi tena.
so usiishi kwa kukariri kaka
Oky ,nimekupata .Mimi haya mambo kichwani mwangu ni zero(o).acha misome comments nitajifunza kituUnataka Bank Zitangaze watu wajue kuwa kule una kuibiwa kwa mara kwa mara?
Na wahame bank husika?
ndugu weka dau nipeleke sehemu yoyote unayoijua hapa dar nika hack wi-fi, niko tayari kuwa wazi,Tuwekane sawa kwanza. Ni kukariri na siyo kukalili! Hadithi zako umesikia wasiojua wenzako wanadanganyana vijiweni na wewe ukazibeba. Hizo hadithi zako za mambo ya ''kuajiliwa'' kampuni fulani ni njia nyingi wanazotumia wapiga fix kama wewe kujitapa.
Mtanzania ni no 2 Africa baada ya Mnigeria kwa ubunifu wa uharibifu ( shortcut) sio kwa ubunifu wa maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kupakua game of throne ni ujanja?? Wenzako hayo tuliyayafanya miaka ya 2005!ndugu weka dau nipeleke sehemu yoyote unayoijua hapa dar nika hack wi-fi, niko tayari kuwa wazi,
nipeleke unapopajua wewe mimi nitahack na hawatajua kama kuna new user.
nimepakua season ya game of throne wiki hii season 1 - ya 8 hd nachagua tu wapi nikae nifanye yangu then hd
nina 2tb nimejaza movies ninapojisikia nafanya yakwangu.
Usibishe usilolijua