CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,625
- 1,454
Mh! Hapo tu kwenye kutaja kiasi cha hela ya kwenye simu yako, ivi unaweza kuthubutu kumtajia mtu kiasi cha hela ulionayo kwenye simu yako? labda akaunti yako iwe ina matatizo halafu ukawa umepiga mwenyewe namba 100 huduma kwa wateja, pale mhudumu anaweza kukuuliza na ukamtajia kiasi kilichomo, duh tuweni makini.
Hata nipige number 100 simwambi maana ana access ya kujua simu yangu ina kiasi gani, kwenye M-pesa,bando, sms etc