Wizi mkubwa Tanzania

Wizi mkubwa Tanzania

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
699
Reaction score
1,041
Marekani ilitengeneza mashine ya kukamatia wezi, wakaamua kuifanyia test kiufundi.

Mashine ikapelekwa China, baada ya dakika 20 ikakamata wezi 2500. Baada ya hapo ikapelekwa Urusi, ndani ya dakika 10 ikakamata wezi 700, ikapelekwa Nigeria baada ya dakika 30 ikakamata wezi 500.

Ilipopelekwa Tanzania, baada ya dakika 4, mashine ikaibiwa.!





 
Wewe, sio Tanzania hiyo... IngeletwaTanzania kweli mashine ingeibiwa kabisaa
 
Back
Top Bottom