Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 175
Kumekuwepo na wizi mkubwa kwenye mitandao ya simu kwa kipindi cha karibuni. Mimi mwenyewe majuzi kijana wangu wa kibanda cha Mpesa amekuwa muhanga wa wizi huu.
Cha kushangaza tunakwenda kutoa taarifa police nao wanasema ni kweli kuna wizi sana.
Sasa tunajiuliza namba ina jina simu imesajiliwa lakini hawakamatwi police kuna mini.
Tunakuomba waziri wa mambo ya ndani uingilie kati na TCRA kwa nini bado watu wanasajili namba kwa vitambulisho feki uwekwe utaratibu wa kusajili upya namba za simu maana zilizo nyingi no usajili feki.
Na kila mtu achukue tahadhari sana husiamini message yoyote maana hapo ndipo wanapigia.
Waziri wa mambo ya ndani naomba ingilia kati police wafanye kazi maana tunajua wana kitengo cha cyber.
Pia nashauri simu zote zisajiliwe upya kwa kutumia vitambulisho vyenye vinasaba kama vitambulisho cha kura, leseni ya udereva na vitambulisho cha taifa maana hivyo ni ra