Wizi kupitia mitandao ya simu

Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,444
2,000

Wizi kupitia mitandao ya simu

========Sehemu ya tatu ( wakala wanavyoibiwa ===============
Habari zenu wadau. Kabla haujaendelea chini pitia uzi hapo juu kisha tusonge na hii sehemu ya tatu inayohusu mawakala wa tigo pesa, mpesa au airtel money wanavyoibiwa kizembe au kwa kutokuwa makini na kujikuta wakifunga biashara kwa kuibiwa mitaji yao.

Tusonge

Zipo njia nyingi lakini mbili ndo hutumika sana. Ya kwanza tu chukulie mfano mimi nipo Dar mbezi beach lakini nina mtu mwingine niliepanga nae kufanya wizi yeye yupo mbeya mathalani ninakuja kwenye kibanda chako nahitaji kutoa pesa million moja na laki mbili (1.2m) kabla cjaanza kutoa lazima nithibitishe kuwa pesa niitakayo inapatikana kwa kukuuliza na baada ya hapo nitaanza mchakato kwa kuchukua simu yangu mithili nafuata hatua ya kutoa pesa na wakati huo rafiki yangu aliepo mbeya naye anafuata mchakato wa kutoa pesa hyo hyo 1.2m kwa kuwa nimeshamtajia namba ya wakala niliepo. kwa kifupi mimi nipo pale kwaajiri ya kuchukua cash tuu lakini mtoaji yupo mbeya. Akishatoa pesa anantumia ile masage na nikiipokea namtaarifu wakala nimetoa 1.2m na jina lake la uwakala na namba namtajia pia, pasipo na shaka wakala atapokea masage na kuniuliza jina langu na ntamtajia na hata akihitaji sms ntamuonesha juu juu coz nimemtajia jina lake na kias cha pesa (ingawa mawakala wengi hawahitaji uthibitisho wa sms kwenye simu za wateja) baada ya kujiridhisha atanikabidhi pesa yangu nitaondoka zangu. Baada ya nusu saa yule rafiki wa mbeya atapiga simu huduma kwa wateja na kuomba arejeshewe 1.2m ametoa kwa wakala kimakosa, watoa huduma watamwambia asubiri 24hrs au hata 48hrs baada ya uchunguzi.
hapa ndo patamu teh teh teh !!!!!!!!.

uchunguzi unafanyika.

Mtoa huduma atampigia wakala husika na kumuuliza kuwa 1.2m ilitolewa kimakosa hivyo inarudishwa kwa muhusika , wakala atasema nimempa cash huyo mtu kwa kuwa alikuja hapa akatoa pesa nikampatia cash..!! Labda kwa wale msiojua kwa taarifa yenu ili pesa irudi kwa muhusika ni lazima location iangaliwe ndipo ujue nani mkweli kati ya wakala na mteja, mfano mzuri hapo juu ni kwamba alietoa pesa location yake ni mbeya na wakala location yake ni Dar kwa mantiki hiyo mtoa pesa hakuwa kwa wakala wakati anatoa pesa so ni halali na kisheria ametoa pesa kimakosa, mtoa huduma atawaunganisha call conference wote wawili na kila mmoja atavutia upande wake lakini mwisho wa yote location ndio mwamuzi wa mwisho hivyo pesa itarudishwa kwa mteja kwa kuwa wakala huna ushahidi wa kutosha. Pole..!!

Kumbuka:

1. Kila wakala anawajibika kujaza logbook za miamala iliyofanyika kila siku na kitambulisho cha mteja kinatakiwa kabla hajapewa pesa

2. Kila wakala anawajibu wa kuchukua sms za miamala katika simu ya mteja na kujiridhisha uhalali wa muamala husika

Bahati mbaya siku hizi hii sector ya "mobile money" imekuwa kwa kasi kiasi kwamba sio rahisi kwa wakala kufanya yote hayo juu kwa kila mteja kwa kuhofia kupoteza wateja wengine kwa kukaa foreni wakisubiri huduma ama kwa uzembe /uvivu na kujikuta katika risk ya kupoteza pesa zao

My take:

kama una wakala au unatarajia kufanya biashara hii kuwa makini na fuata sheria na taratibu zinazotakiwa haswa kwenye miamala mikubwa ili kuokoa uhai wa biashara yako.

Na kama wewe umeona hii ni fursa ya kufanya fraud !! Cyo rahisi kama unavyofikilia(kwa wewe wa humu jf tu)

Submitted ..

.
 
samalanga

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
306
250
Hello,
Karibu SUPERLIFE,kampuni inashughulika na usambazaji wa product inayoitwa STC30(Stem Cell) ambayo imetengenezwa kutokana na mimea kwa kutumia tekinolojia ya Phytocelltech kutoka kampuni ya MIBELLE BIOCHEMISTRY ya Uswisi.

Kazi kubwa ya hii product(STC30) ni kutengeneza seli mbalimbali mwilini hasa katika sehem ambako seli zimekufa,seli pungufu au zimeharibika(damaged cells).Stem cell imeonyesha matokeo makubwa sana kwa watu wenye matatzo ya Kisukar(Diabetic),Presha,Cancer,Vidonda sugu,Uti wa mgongo,Macho ,Moyo,viungo mwilini(joints) nk.STC30 ina karibu asilimia 100 pure stem cell,hivyo mtumiaji anashauriwa kutumia sachet moja kwa siku kwani ina nguvu sana ukilinganisha na stem cell zingne.Website ya kampuni ni www.superlifeworld.com

NAMNA YA KUPATA PRODUCT:

Unatakiwa ujiunge kupitia link au namba zilizo onyeshwa hapo chini kwa kuchagua kifurushi kati ya hivi:
1.STARTER bei shs 146,000/= unapewa product 1

2.STAR bei shs 257,500/= unapewa product 2

3.PREMIUM bei shs 1,000,000/= unapewa product 8 na

4.SUPER bei shs 2,485,000/=unapewa product 20.

MAMBO MENGINE MAZURI YA KAMPUNI:

1.Ukimshirikisha mtu mwingine ajiunge ,kampuni inakupa hapo hapo asante ya asilimia kati ya 25-35 kutegemea na aina ya kifurushi alichojiunga member mpya.

2.Kampuni inakuondolea gharama za shipping (10%) endapo utaamua ku -upgrade au kununua kifurush kikubwa zaidi.

3.Ukijiunga unapata product zako hapo hapo hakuna kusubir zitumwe toka nje.Kwa mikoani,kila mkoa utakuwa na ofisi.

4.Gharama ya kujiunga ni ndogo: Unalipa shs 146,000/= unakuwa member na unapewa product 1 ambapo sasa utakuwa unanunua products kwa bei ya chini kati ya dola 30-40 kutegemea na idadi utakayo nunua.

5.Car Plan:Kampuni pia imeamua kutoa awards magari 200 kwa afrika kwa watu 200 ndani ya siku 200 kuanzia 1st Oct 2017.

NB:Inashauriwa utumie product wew kwanza ili uwe shuhuda mzuri kwa wengne.

Kama una ndugu au rafiki ana matatzo kati ya hayo magonjwa,naomba nione inbox nikupe maelezo kwa kirefu.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,030

Nahisi umekosea mlango wa kuingilia mkuu
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,169

Hizi mambo za matangazo ndani ya uzi yapo fb na insta , sasa mpaka humu!!! labda kama we mgeni,
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
8,412
2,000
Acha uongo wewe na kudanganya watu , muala kama huo Wa milioni 1.2 hauwezi kurudishwa bila sender na receiver kufika kwenye office za mtandao husika physically.

Kwa hiyo kesi kama ukifika kwenye mtandao husika kudai hela yako huwezi kutudishiwa kwasababu inachukuliwa kama umefanya wrong transaction kwa kukosea namba ya wakala
 
Boss kwani muhusika alietoa hiyo pesa hawezi fika ofisini hata akihitajiwa kufanya hivyo? Embu soma vizur post ukiielewa jipange upya na comment yako.
 
Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,444
2,000
Hello,
Karibu SUPERLIFE,kampuni inashughulika na usambazaji wa product inayoitwa STC30(Stem Cell) ambayo imetengenezwa kutokana na mimea kwa kutumia tekinolojia ya Phytocelltech kutoka kampuni ya MIBELLE BIOCHEMISTRY ya Uswisi.

Kazi kubwa ya hii product(STC30) ni kutengeneza seli mbalimbali mwilini hasa katika sehem ambako seli zimekufa,seli pungufu au zimeharibika(damaged cells).Stem cell imeonyesha matokeo makubwa sana kwa watu wenye matatzo ya Kisukar(Diabetic),Presha,Cancer,Vidonda sugu,Uti wa mgongo,Macho ,Moyo,viungo mwilini(joints) nk.STC30 ina karibu asilimia 100 pure stem cell,hivyo mtumiaji anashauriwa kutumia sachet moja kwa siku kwani ina nguvu sana ukilinganisha na stem cell zingne.Website ya kampuni ni www.superlifeworld.com

NAMNA YA KUPATA PRODUCT:

Unatakiwa ujiunge kupitia link au namba zilizo onyeshwa hapo chini kwa kuchagua kifurushi kati ya hivi:
1.STARTER bei shs 146,000/= unapewa product 1

2.STAR bei shs 257,500/= unapewa product 2

3.PREMIUM bei shs 1,000,000/= unapewa product 8 na

4.SUPER bei shs 2,485,000/=unapewa product 20.

MAMBO MENGINE MAZURI YA KAMPUNI:

1.Ukimshirikisha mtu mwingine ajiunge ,kampuni inakupa hapo hapo asante ya asilimia kati ya 25-35 kutegemea na aina ya kifurushi alichojiunga member mpya.

2.Kampuni inakuondolea gharama za shipping (10%) endapo utaamua ku -upgrade au kununua kifurush kikubwa zaidi.

3.Ukijiunga unapata product zako hapo hapo hakuna kusubir zitumwe toka nje.Kwa mikoani,kila mkoa utakuwa na ofisi.

4.Gharama ya kujiunga ni ndogo: Unalipa shs 146,000/= unakuwa member na unapewa product 1 ambapo sasa utakuwa unanunua products kwa bei ya chini kati ya dola 30-40 kutegemea na idadi utakayo nunua.

5.Car Plan:Kampuni pia imeamua kutoa awards magari 200 kwa afrika kwa watu 200 ndani ya siku 200 kuanzia 1st Oct 2017.

NB:Inashauriwa utumie product wew kwanza ili uwe shuhuda mzuri kwa wengne.

Kama una ndugu au rafiki ana matatzo kati ya hayo magonjwa,naomba nione inbox nikupe maelezo kwa kirefu.
Mkuu. Nakudai ya tangazo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom