Wizi kupitia mitandao ya simu

Washanipigiaga hawa jamaa nikawaambia kama ni bonus siwaitume kwenye line yang inamaana gani yakujua salio wakati nyie ndio mko uko kwenye system nkawaambia simchek salio wenyewe dah hawakurudi tena. Hivi vitu vipo wadau ni kweli kabisa....shukran kwa mtoa mada hope itawaelimisha wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kiongozi basi akapigwa akitegemea kupata bonus mamame hakuamini macho yake baada ya kupata ile sms ya mwisho iliyomtoa machozi utadhani anakatakata vitunguu maji

Hawa jamaa alafu hawana huruma hata kidogo hata chembeee aiseew yaani mungu ndio anajuwa peke yake kwa jinsi walivyo hawa watu hawafai hata kidogo...naona alisikitika sanaaa.....
 
Hawa jamaa alafu hawana huruma hata kidogo hata chembeee aiseew yaani mungu ndio anajuwa peke yake kwa jinsi walivyo hawa watu hawafai hata kidogo...naona alisikitika sanaaa.....
Kaka afadhali na hao... Mimi katika watu namba moja ambao nawachukia ni waizi wa majumbani na majambazi.
Hawa wanacheza na akili yako ila wale wa majumbani ni hatari aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka afadhali na hao... Mimi katika watu namba moja ambao nawachukia ni waizi wa majumbani na majambazi.
Hawa wanacheza na akili yako ila wale wa majumbani ni hatari aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hao wakukupigia sim niujinga wako MTU anakwambia ingiza 1 piga OK ,kisha ingiza 5 piga OK,kisha ingiza 2 piga OK unaona kabisa namba 2 nitigo pesa .unapiga OK .inakuja weka namba unaweka namba unapiga OK inakuja weka kiasi unaweka kiasi unapiga OK kisha inakuja weka namba yasiri unaweka unapiga OK inakuja weka 1 kudhibitisha unaweka unapiga OK .sasa hapo huoni kama niutahira huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wajinga ndio waliwao ,yani anavokupa maelezo yoote hayo hushtuki tu!!!!
 
Labda mtu aliyetoka mirembe leo akili hazijamkaa sawa ndio utaweza kumwibia kizembe hivi, au ukamroge kwanza
 
Kweli wajinga ndio waliwao ,yani anavokupa maelezo yoote hayo hushtuki tu!!!!
Mkuu siyo rahisi kushituka maana ukiingia kwenye menu ndo utahisi unapigwa ila ukiendelea mbele huezi jua kabsa maana hizi code 654896452 na 00833,200 siyo rahisi kushitukia

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Wenye hizo namba ulizotaja wamegutuka. Ndio maana wamesitisha mkataba wao na Selcom maana wafanyakazi wao ndio wahusika wakuu kwenye huo wizi. Nadhani kuanzia sasa wizi huo utapungua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo naomba ufafanuzi. Selcom wanahusikaje hapo. Wafanyakazi wapi wanahusika wa selcom au wa 076,???

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Labda mtu aliyetoka mirembe leo akili hazijamkaa sawa ndio utaweza kumwibia kizembe hivi, au ukamroge kwanza
Mkuu watu na akili zao wanalizwa.

Wewe hata kama mjanja vipi ipo siku umeshagawahi pigwa kama bado utapigwa tuu. One day

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom