Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,385
- 30,364
Kuna muda ni hii mitandao ya simu inakuunganisha huduma ambazo hukuji commit kujiunga..Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Huwezi kujiunga kusikiliza ujinga.Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Hizi huduma huwa wanaunga wenyewe, kuna siku nimekatwa pesa namuuliza muhudumu aniambie nimejiunga lini ananiambia nimejiunga jana yake, na mimi hakuna namna nilijiunga na huduma zao kwa huo mudaMkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
True.. Kuna namna namba za wateja wao wana share na third parties ambazo mtu hazijui kabisa.... Inabidi tupitie terms n conditions aseeKuna muda ni hii mitandao ya simu inakuunganisha huduma ambazo hukuji commit kujiunga..
Kiufupi hao ni wahalifu wa kimtandao... Ni utapeli.. na inaonekana wanaingiza pesa nyingi sana..True.. Kuna namna namba za wateja wao wana share na third parties ambazo mtu hazijui kabisa.... Inabidi tupitie terms n conditions asee
Airtel Hali ndio mbaya zaidi imagine you just buy a new simcard and right away someone calls you and start to ask you for money,True.. Kuna namna namba za wateja wao wana share na third parties ambazo mtu hazijui kabisa.... Inabidi tupitie terms n conditions asee
Soma ujumbe nilioletewa.Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Kuna mambo mawili...VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..
"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"
Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.
Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.
Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Wewe ni mfanyakazi wa Vodacom?Kuna mambo mawili...
1. Aidha kuna mtu alishika simu akajiunga na hiyo huduma, au wao wenyew katika pop ups zao za kitangaza hiyo huduma ulithibitisha kwa bahat mbaya bila kujua...
2. Wao kama Vodacom kwasababu sio mtu mmoja, ni ngumu mfanyakaz mmoja akufanyie hivyo wakati mshahara wake upo pale pale, hivyo ni mfumo umeyumba
No, nimejaribu kutuliza akili na kujibu kwa namna ambayo najua kabisa hata akifanya hivyo hapati bonusWewe ni mfanyakazi wa Vodacom?
Mfumo unayumba kwa kuibia wateja?Kuna mambo mawili...
1. Aidha kuna mtu alishika simu akajiunga na hiyo huduma, au wao wenyew katika pop ups zao za kitangaza hiyo huduma ulithibitisha kwa bahat mbaya bila kujua...
2. Wao kama Vodacom kwasababu sio mtu mmoja, ni ngumu mfanyakaz mmoja akufanyie hivyo wakati mshahara wake upo pale pale, hivyo ni mfumo umeyumba
Nahisi wale wasajili laini ndio huingia deals na matapeli wa mitandaoni..Airtel Hali ndio mbaya zaidi imagine you just buy a new simcard and right away someone calls you and start to ask you for money,
You end up asking yourself where did he get my number?!
Telecom companies wanatuchukulia poa Sana Watanzania
Umeongea kwa uchungu sana mkuu,Mfumo unayumba kwa kuibia wateja?
Kama mfumo umeyumba kwanini wasirejeshe pesa za watu mfumo unapokaa sawa?
Hizo ni mbinu za wizi, click moja tayari ana mabillion.
Nakumbuka kuipindi nafanya kazi, kuna kijana wa IT kitengo cha compyuta ya mshahara alitajirika ghafla hadi watu wakaanza kujiuliza biashara gani inamnufaisha huyu?
Kumbe alikuwa akitufyeka sh. 5 Wafanyakazi wote Wizara nzima na hakuna mtu aliyebaini mapungufu ya kiasi hicho kidogo kwenye mshahara wake, na ni vigumu sana.
Alikuja kubainishwa baada ya upelelezi kutembea!
Kwa hiyo huo ni mchezo, usije ukakataa na kuwatetea hao, hapo ni lazima kuna watu wananufaika pesa kubwa ya bure bila jasho.
Ok, but Vodacom are very aggressive when it comes to money. Analosema mleta mada nimewahi kulipitia.No, nimejaribu kutuliza akili na kujibu kwa namna ambayo najua kabisa hata akifanya hivyo hapati bonus