Wizi kichaa (Kleptomania)

Stupid comment ever...hivi ni lazima ucomment hata kama huna cha kuandika. Sehemu nyingine ukiona huna wazo la kuchangia unapita kimya yapo majukwaa ya utani na soga

Uspanic nina zaidi ya maana katika nilichokiandika hapo juu, labda hukuelewa maana tu, ni fumbo hilo, haliusianinkabisa na ulivyonielewa...nililenga mengi ya kushangaza tunayoyapitia kipindi cha miezi mitatu hii Kama Nchi
 
Okey sorry kama hukuwa na maana niliyoelewa mimi
 
Unakuta mtu labda ameenda hotelini au mgahawani saa ya kula atachukua toothpick kadhaa, wengine hadi vijiko, glasi wanaondoka nazo... Hata sabuni pia wanachukua

[HASHTAG]#Kleptomania[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna uzi niliona mdada na mwenzie wanaiba sahani na mashuka hotelini
 
Nina mada yake hili tayari
 
Hili mi pia hunishangaza, wapo pia watu huwaibia wadada siku zao, unamkuta mdada analalamika hazioni siku zake na ndani wanaishi wawili tu.
[emoji87] [emoji86] [emoji3] haya maskhara sasa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna uzi niliona mdada na mwenzie wanaiba sahani na mashuka hotelini
Kuna mheshimiwa mkuu wa mkoa au wilaya fulani aliwahi kutuhumiwa kukwapua mataulo ya gesti house flani!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna uzi niliona mdada na mwenzie wanaiba sahani na mashuka hotelini
Yeah ule uzi niliuona yule Dada noma
 
Nilishangaa sana siku tumekaa pub na boss wangu akawa anasema glass alopewa nzuri lazna aiibe..nikajua anatania
 
mkuu hapo umenena,maana huyo jamaani noma.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…