Wizi kichaa (Kleptomania)

noma sana aisee..yaani vitu vidogo visivyo na thamani ndio unaiba??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli ni ugonjwa kuna jamaa aliiba aerial ya simu ya mezani kwenye duka kubwa nilishtuka sana halafu ukimwangalia uwezo anao.
Lakini hata ndege ni waizi pia sijui nao ni kind of ukichaa
 
Duu hii yaweza kuwa reincarnation
 
Best yangu alikuwa na tabia hiyo tena yeye glass za wine.Nilikuwa namshangaa sana pia akilala hotel anakomba vyoote vya chooni. Kumbe ni ugonjwa.
 
Duuu wa kike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…