akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
Wadau za siku tele? Tafadhari kuweni makini mwenzenu juzi nimekwapuliwa simu wakati naongea huku nimeshusha vioo maeneo ya pale bp kulasini.
Nashauri kama unaongea na simu na uko ndani ya gari na haujafunga vioo basi nashauri simu iwe upande tofauti na usukani ulipo ( najua sijaeleweka hapo) mf gari ni left hand basi simu iwe kulia na kinyume chake pia.
They are very tricky maana wanakuwa na pikipiki wamebebana kucheki nani kajisahau, wakiisha point basi mmoja anashuka na kufanya kazi then anakimbia faster kwenye bike nduki au akimbilia bindeni. Take care guys!