Wizi Buguruni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi Buguruni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kassim Awadh, Sep 16, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Buguruni imechachamaaaa! asbh ya leo majira ya saa 2 nimepaki gari super custom pembeni ya maduka yanayoanzia buguruni kituo cha daladala ziendazo muhimbili, karibia na uhuru bar, nimeingia duka moja dk 10 natoka nje ya gari wezi washafungua gari kwa kutumia funguo malaya nadhani,,wamenichukulia simu ambayo niliiacha ndani ya gari. Bila shaka wizi huu umeenea hata maeneo mengine ya Dar. Wadau tujihadhari,,najiuliza jambo moja usalama wa gari zetu uko wapi sasa ikiwa wezi wamefikia hatua ya kuwa na funguo bandia na kufanya uhalifu huu mchana kabisa kweupe
   
 2. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  pole sana Maisha magumu ndo yanabadilisha roho za watu.
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dont trust car washers, mafundi garage, ukiwaachia funguo they make a duplicate.
   
 4. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimekupata mkuu S wa Taranga,ila kwa tukio la jana nahisi ama kuna watu/wezi tayari wana masterkey za gari aina hii(super custom)ama ni funguo malaya kwa gari zote tu maana hata haikuchukua dk na najiuliza utayari huu wa mwizi alikuwa nao vp its like alikuwa ananisubiri
   
 5. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Najiuliza maswali Mengi.

  Unajua sehemu hiyo ina movement sana ya watu, how the hell did that happen. Huyu mwizi mbona hafanyi hizo kazi usiku?
   
 6. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Usije ukaamini mtu yeyote siku hizi vile vile usijeacha kityu chochote kwenye gari hata kama ni mfuko wa takataka ni hatari
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wanaweza ata wasiwe na funguo malaya!ulikuta mlango wako upo wazi baada ya wizi huo?au umefungwa?
  Kuna technics za vibaka ya kushikiria mlango wakati unalock gari(hapo milango aitajifunga)so ukishakuwa mbali kidogo na gari wao wanaingia na kuchukua wanachokitaka.Ukiwa sehemu yenye watu wengi kama hapo Buguruni double check kama milango yote imefungwa na akuna mtu aliegemea gari lako wakati unafunga milango yake.Iliwai tokea kwa jamaa angu,tena alipaki gari mbele ya shoe shiner,anarudi laptop,simu akuna..tukaanza na huyo shoe shiner,baada ya kumsurubu akatuambia mchezo mzima ulivyokuwa,na akutonyesha alieingia ndani ya gari(wasiwasi wetu ukawa ni funguo malaya gani waliotumia)ndo wakatueleza trick ya mmoja wao kuwai kushika mlango mmoja wa gari wakati dereva analock.so next time kuwa makini wakati unafunga gari yako na pia jitaiidi kutoweka vitu vya thamani peupe.Uenda walipoiona simu ndo wakaamua kukufanyia hayo
   
 8. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Yeah this must be the case.

  Ila kama una lock kwa Remote milango haitakubali kulock kama kuna mlango mojawapo haujafunga vizuri
   
 9. u

  upendom Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sio buguruni tu,juzi yalimpata jirani yangu pale mlimani city,alienda pale mida ya saa kumi na mbili jioni,pale getini wakati anapewa kadi askari aliyempa kadi alimwambia kaka angalia unapopaki gari wezi wamekuwa wengi sana na target ni NOAH pamoja na HARRIER.
  yeye alikua na harrier .akapaki mbele ya merry brown akaingia ndani ya shoprite .within dk 10 akatoka akakuta site mirror imeshaliwa(imeibiwa) alafu wakarudishia km vile mwenye gari ndo alikunja.alioshtuka sana na akakumbuka kauli ya askari akaenda kummind ila ni ngumu kumshtaki kwa kauli yake no evidence.kuweni makini mlimani city hapafai jamani.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Usipende pita huko mkuu.
   
 11. g

  geophysics JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli ndugu yangu....magari hasa toyota models funguo zake zinachongeka kirahisi......ila nissan model, jeep etc huwa sio rahisi....wasiliana na wataalam wa auto safety wakurekebishie locks zako ili uwe na uhakika wa usalama wa gari na mali zako ndani ya gari... POLE SANA
   
 12. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mgeni na Dar?

  Next time usipaki gari karibu na territory za CUF
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,064
  Trophy Points: 280
  Funguo za Toyota zinaingiliana
   
 14. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 810
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 80
  Kuna sikunilisahau fungi ndani gari city centre walitokea vijana na kuniuliza Kama kuna malipo ndani ya dakika moja gari ilfunguliwa nilipohoji walinijibu kwamba wao magari yote wanaona yapo wazi
   
 15. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  We're not safe anymore wakuu
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Shida zawafanya watu kubuni mbinu za wizi wa kila namna!
   
 17. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Milango niliikuta wazi (unlocked),gari ina tinted so naamini hawakuiona in advance simu ikiwa ndani.Inashangaza sana kuona inshu inafanyika asbh ya saa 2,3
   
Loading...