Wizi benki ya posta kitengo cha mikopo

JEHU

New Member
May 26, 2014
4
0
WANA JF,

Jamani nilikopa na ilipobaki miezi 3 nilitopup mkopo kwa masharti ya kawaida kuwa lazima nilipe balance kwa mkopo mpya na kuwa fedha itakayoingia ya ile balance niliyolipa itarudi kwenye akaunti yangu au watasimamisha makato hazina na kuanza kukata mkopo mpya.

Cha ajabu niliendelea kukatwa na fedha haikurejeshwa kwenye akaunti na walipomaliza wakaanza kukata upya mkopo mpya.nikiwauliza naambiwa imelipia mkopo mpya ambao nilishalipa kwenye pesa ya mkopo mpya.

Nimekomaa wakanijibu nilikuja na shida sasa shida imeisha nawasumbua.

NAFIKIRI KUWAPELEKA MAHAKAMANI KWA KUTUMIA WAKILI.

NAOMBA USHAURI WENYE UZOFU HAPA JF.:nimekataa
 
believer

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
615
250
WANA JF,

Jamani nilikopa na ilipobaki miezi 3 nilitopup mkopo kwa masharti ya kawaida kuwa lazima nilipe balance kwa mkopo mpya na kuwa fedha itakayoingia ya ile balance niliyolipa itarudi kwenye akaunti yangu au watasimamisha makato hazina na kuanza kukata mkopo mpya.

Cha ajabu niliendelea kukatwa na fedha haikurejeshwa kwenye akaunti na walipomaliza wakaanza kukata upya mkopo mpya.nikiwauliza naambiwa imelipia mkopo mpya ambao nilishalipa kwenye pesa ya mkopo mpya.

Nimekomaa wakanijibu nilikuja na shida sasa shida imeisha nawasumbu

NAOMBA USHAURI WENYE UZOFU HAPA JF.:nimekataa

Unasikia mkuu i was once a banker(commercial mgr)kuna uzembe ulifanyika hapo,ulivotop up mkopo ilitakiwa wa update makato yako hazina ili makato ya mkopo mpya yaanze.lkn ikitokea hawajaupdate makato,ukiendelea kukatwa makato ya zamani hua yanaenda kupunguza uliopo kwa wkt huu,ukitaka kuprove omba kujua deni lako jipya liko vp,lazima litakua limepunguza,usiporidhika na maelezo yao songambele.
 
JEHU

New Member
May 26, 2014
4
0
kwanini wasi update deni mkuu?na salary slip wamezifuata huko zinakotoka na kuzificha?.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom