Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Mwana, kaiweka hio..ila def wizara ya wanawake, watoto lazima iwepo maana they are still minorities so lazima wawe na sehemu yao..
Je hatu hitaji wizara ya mambo ya ndani na wizara ya ulinzi?
Mwana, kaiweka hio..ila def wizara ya wanawake, watoto lazima iwepo maana they are still minorities so lazima wawe na sehemu yao..
wewew hutaki wizara ya tamisemi?na vp kuhusu viwanda umeiweka wapi nayo?na utwala bora jee?
Kwame Nkrumah, taratibu!! Mbona Wizara ya Afya / Afya ya Jamii na Matibabu hakuna??? Wataka tuanze kutibiwa kutumia mitishamba au mazindiko? kumbuka kuna huduma za kinga kama kupambana na kipindupindu, SARS, H1M1, utapiamlo, Mimba zisizotarajiwa, TB, etc. Ukifuta Wizara ya Afya / Afya ya Jamii na Matibabuutaja ua bila kukusudia.
Kaka iforward hii kwa Muungwana pitia his office e-mailIdadi ya wizara katika serikali yetu imekuwa kubwa mno. Ni bora basi ufanisi ungeongezeka, lakini ufanisi haujaongezeka na badala yake ni urasimu,gharama,semina, ufisadi, safari na posho ndiyo zimeongezeka.
Wizara zingekuwa hivi [ bila mpangilio maalum]
1. Fedha.
2. Ulinzi.
3. Kilimo na Mifugo.
4. Mambo ya nje.
5. Elimu .
6. Maji na Ardhi.
7. Nishati na madini.
8.Biashara na Utalii.
9. Usalama wa Raia.
Masuala mengine kama michezo inafaa kushughulikiwa na Baraza la Michezo la Taifa, Utamaduni kuna BASATA. Shughuli za wizara ya Habari zitashughulikiwa na MAELEZO. Wizara ya Wanawake inaweza kufutwa kwa kila wizara kuwa na kitengo chake cha kushughulikia masuala ya jinsia,in their respective areas, hivyo hivyo kwa shughuli za wizara ya kazi.Wizara ya sheria haitakuwepo kwa sababu kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mkuu hutaki wizara ya Afya kwa nini?
Wizara zingekuwa hivi [ bila mpangilio maalum]
1. Fedha.
2. Ulinzi.
3. Kilimo na Mifugo.
4. Mambo ya nje.
5. Elimu .
6. Maji na Ardhi.
7. Nishati na madini.
8.Biashara,Utali na Mawasiliano.
9. Usalama wa Raia.
10. Afya.
Kuunda wizara inahitaji umakini na utulivu wa hali ya juu wa wataalam watakaozingatia mambo mengi kabla ya kuamua. Haitaki kukurupuka tu na kutengeneza list.