Wizara ya Viwanda na Biashara ipo kwenye mchakato wa kuanzisha Wakala wa Shopping Malls Tanzania

Umeniwekea ujenzi wa “infrastructures” ambazo ni kazi za serikali na ujenzi wa malls ambayo ni kazi ya private sekta mzee?

Kuna reason for that!

Kwamba muundo mbinu ni serikali na vitu vidogo vidogo ni private sekta!

Hueleweki mzee!
Nimekuuliza nini maana ya private sector MAAMUZI/HELA
 
Private sekta yako imefeli 100% inaumiza watu
 
Kama mliman City

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…