Something Inside
Senior Member
- Nov 15, 2019
- 165
- 30
Nimekuuliza nini maana ya private sector MAAMUZI/HELAUmeniwekea ujenzi wa “infrastructures” ambazo ni kazi za serikali na ujenzi wa malls ambayo ni kazi ya private sekta mzee?
Kuna reason for that!
Kwamba muundo mbinu ni serikali na vitu vidogo vidogo ni private sekta!
Hueleweki mzee!