Lakini nawaona wote wakiondolewa na baa la NzigeWaziri wa kilimo amekanusha tetesi hizi, binafsi naona kama amekalia kuti kavu na msaidizi wake nae anamuangalia tu ili akosee kisha atumbuliwe na kisha yeye msaidizi apande cheo na kuwa kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachini yupo kimya na he is very janjafull, hapo amekaa kimya ili mkubwa wake akisee kisha abutuliwe.Lakini nawaona wote wakiondolewa na baa la Nzige
Kwa hiyo kumbe inaonyesha ukiwafuata huko Kenya halafu ukasababisha wasifike huku unakuwa umevuruga mipango ya watu si ndiyo?