Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa

Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa

📍Nsimbo-Katavi
🗓️Machi 15, 2026

 
Samia ili uweze kutimiza malengo ya 2050, inabidi kilimo kiwe cha ki viwandani, itaongeza faida na thamani kwa wakulima, serikali itakusanya Kodi kikamilifu. Wakulima watatuza mazao yao kwa muda mrefu, wataunza nje ya Nchi ✅.

Haiwezekani upambane na lumbesa kwa kuleta magunia Eti yenye vipimo. Raia wanao hifadhi chakula kwenye magunia ni wakimbizi ..

Njia pekee ni kila aina ya mazao yawe na package rahisi/mobile zake, small package.

Mfano sa wanatuuzia 🍎 kwenye zile trays then zinawekwa kwenye small Box. Kama wangekuwa wanaweka kwenye magunia ingekuwa je ?.
 
Maagizo kuhusu Lumbesa hayajaanza leo,ni miaka mingi fuatilia utajua ni suala la muda sana hua linakuja na kupotea tu chini ya serikali isiyo sikivu ya Sisiem, hata hii itapita tu na Lumbesa itapeta
 
Utaambiwa Tangu Uhuru Haijapata Kutokea Hii
 
Back
Top Bottom