Serikali yaeleza namna ya kukabiliana na utakatishaji fedha na ufadili wa ugaidi

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Msikilize Waziri wa fedha na mipango Dk Philip Mpango akielezea kuhusu wizara yake kujipanga kukabiliana na mihamala shuku inayohusu utakatishaji wa fedha haramu na ufadhili wa ugaidi

 
Wizara ya Fedha na Mipango yataja maeneo matano ya kimkakati.​
Utakatishashi wa fedha haramu na ugaidi, Sera ya fedha, Mpango wa kuondoa umaskini, Mfumo wa dirisha moja TRA na Bandari, Miradi ya maendeleo.​
 
Wizara ya fedha na mipango ni kiuongo muhimu katika kupambambana na ufadhili wa ugaidi. Wizara ya fedha na mipango ndio inayofatilia miamala yote yenye shaka katika taasisi zote za kifedha na zisizo za kifedha.
 
Wizara ya Fedha na Mipango ndiyo inafaa kusimamia hilo, hiko kitengo kilikuwepo BOT, naona ili kukipa nguvu zaidi, kimepelekwa Wizara ya Fedha na Mipango.
 
Back
Top Bottom