Wizara ya elimu yatangaza ajira za walimu wa shule za msingi kwa waliohitimu 2014/2015

PAGAMECO

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,207
1,234
Hamjambo Lakini !!
Wizara ya elimu imetangaza nafasi za ajira kwa walimu wa shule ya msingi waliohitimu mwaka 2014/2015. Soma tangazo lao
:oops: :oops: :oops: :)
04c13c054dafdf90ef790c45adfd9a5b.jpg
9f1d6edc14e6c4d9bb05c85288233074.jpg
 
Je Utakubali Sh. 390,000/= kwa Mwezi? Na Kwenda Kuishi Chimbo huko na Ulishazoea kututukana Jamii Forums utaweza Kukaa Chimbo a Taa ya Chemli hakuna hata Umeme?
Kwa hali ilivyo hakuna atakaye kataa hata wakiambiwa wakafanyie somalia na kwa mshahala pungufu wa huo kitaa njaa moto huku,
 
Ahsanthe !!ndg kwa taarifa,,!!make ndg yang alikua keshakata tamaa anatamn ajibwage JKT
 
Ila jaman wizara ya AFYA ,,mmmhhh mbona post za vituo hazitoki mpaka Leo na wakat walisema kufkia October watu watakua kazin tayar
 
Je wenye digrii wakitaka kuomba kufundisha shule ya msingi watakubaliwa? Maana wamejaa huku mitaani wazazi tunapigwa vibomu vya buku buku kila kukicha hadi kero.

Mkuu
hii ni siasa tu kipindi hicho yaani mwaka 2014/2015 kurudi nyuma walimu wa daraja 3A walikuwa wanaajiriwa.kuanauzekano mkubwa hizo nafasi zikawa wazi tena. Kama wanania kweli ya kuajiri wangetangazo kuanzia 2016/17 kurudi nyuma,
 
Mkuu
hii ni siasa tu kipindi hicho yaani mwaka 2014/2015 kurudi nyuma walimu wa daraja 3A walikuwa wanaajiriwa.kuanauzekano mkubwa hizo nafasi zikawa wazi tena. Kama wanania kweli ya kuajiri wangetangazo kuanzia 2016/17 kurudi nyuma,
Ni kweli wakitangaza 15/16 watawapata wengi tu maana hajira zilikoma baada bwana yule kushika atamu ndio maana hata tangazo lao la awali alikupata watu kutokana na kipindi walichokisema,
 
Huyu sizonje hamjamgundua kama Anatafuta kiki tu na hana mpango Wa kuajiri! Mwanzoni walikuja na tangazo hilohilo LA kutafuta waliomaliza 2014 kurudi nyuma wakati wanajua Kanisa kipindi hicho kilikiuwa cha Marais wanaojielewa ajira zilikuwa zipo na waliajiriwa wote labda kwa wachache ambao hawakutaka ajira.

Sasa kule nadhani hawaoni maombi bado wamrudi kinafiki kutafuta tena waliohitimu 2014 wakati bado wanafahamu kuwa hao wote waliajiriwa kipindi cha Kikwete! Kama Serikali INA nia ya kuajiri inashinwaje kutangaza kuwa waliohitimu 2015 na 2016 watume maombi wakati hao ndo wanaosubiri ajira na mtaani wapo maelfu? Kama hawatatosha kuna intake ya 2017 pia iko mtaani.

Serikali iache drama za kuwasumbua wananchi.
 
Je Utakubali Sh. 390,000/= kwa Mwezi? Na Kwenda Kuishi Chimbo huko na Ulishazoea kututukana Jamii Forums utaweza Kukaa Chimbo a Taa ya Chemli hakuna hata Umeme?
Mmh degree hawaanzii hela hiyo! Japo kukaa mbwinde nako noma!
 
Back
Top Bottom