fagix
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 739
- 552
Swala la kuchuja ni kujenga matabaka na kama tunataka elimu ikuwe ni lazima tuwe na equal scale of measurement na hapa ndo mtihani wa form two na form four unafanya kaza
Kuchuja hao wanafunzi
Kuruhusu shule binafsi kuchuja kulingana na wao wanavyotaka ni kuenfeleza tabaka ndani ya elimu,tabaka ambalo zao lake ni kizazi hoyo katika jamii, sio kweli eti private school wakifanya mchujo ndo watapata wanafunzi wazuri hapana,
Jiulize ni mitihani ya uzito gani inatumika katika huu mchujo
Ni wangapi wamefel darasa la saba lakin wakaenda private wakapata nafasi,
Wangapi four form wakafeli lakin private wakapata nafasi
Sio tija ya mchujo huko private.
Mchujo ni chazo cha rushwa kwa walimu wanaenda kusimamia huu mchujo.
Mwalimu huwa naenda kwenye mchujo lakini tayari anamajina ya wanafunzi watakaopita kwenye huo mchujo.
Kwangu mchujo hauna faida yoyote kwa elimu ya tanzania,tuache mitihan ya four two na form four iwapime uelewa wao