Wizara ya elimu; ajira za walimu wapya wa cheti, diploma na degree lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya elimu; ajira za walimu wapya wa cheti, diploma na degree lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MWL MTZ, Nov 2, 2011.

 1. MWL MTZ

  MWL MTZ Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napenda kujua ajira za walimu wapya mwaka huu ni lini? maana walihaidiwa kupata ajira mara tu wanapomaliza mafunzo sasa ni takribani zaidi ya miezi 5.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Zaja,subiri tu...Tz hii.
   
 3. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  serekali yetu haina hela ya kutoa ajira mpya, Labda msubiri mpaka baada kuilipa DOWANS ndio tunaweza kuwafikiria!!!

  Namjue ya kwamba tuna mambo mengi ya kufanya kama vile Hafla fupi za kupongezana baada ya kufanikisha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi bila mgomo, Safari za nje ya Nchi kwenye vikao visisvyokuwa rasmi, kuandaa tume zisizokuwa na majibu kama ile Prof. Makenya Maboko, Kumtembelea mh Dk Kawambwa ofsini ili kupiga story za enzi hizo, na Kupitia pale kwa katibu mkuu Prof Dihenga kumpa kadi ya arusi na kumweleza kuwa yeye ndiye mfungua shampeni wa Arusi ya mpwa wa Jailosi, Davidi, Kuandaa vikao kupitia kwa Dk Ndalichako wa NECTA ili kuangalia muelekeo wa kuongeza divission zero kwa hawa 4m 4 ili kupunguza usumbufu wa mikopo mwaka 2014 ili tukisafishe chama chetu kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2015. n.k n.k n.k n.k

  Hivyo basi naombeni muendelee kuvuta subira kwa moyo mweupe kabisa enyi waalimu wetu, We love u so much our comrades teachers....
   
 4. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  asante mkuu
   
 5. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilizani hata hili utabisha, kwnai huo ndio mfumo wa serikali yetu, Gillah bado hajarekebisha???
   
 6. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mh! hii gundu!
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  was just a political talk ila subiria tu zitakuja usihof mkuu
   
Loading...