Jamani kama kuna mtu anajua jinsi ya kupata msaada pale ardhi anisaidie . Kwa sasa niko tayari hata kwa rushwa maana inachosha......pls PM me kwa msaada wowote
Tibaijuka aliwapa siku thelasini wahindi wavunje jengo lililojengwa chini ya kiwango. Sijui alipewa nini jengo mpaka leo lipo. Leo Tibaijuka ametoa amri fisadi wa kapunga arudishe kwa wakulima wa Mby kijisehemu cha kapunga rice farm. wahindi walimcheka tu. huyu mama si mziho tu bali ni uozo wa ccm. Hizi kura watu wa ccm mnazipataje ¿¿¿¿¿¿
Tibaijuka , je unajua kuwa kuna uozo mkubwa kwenye wizara yako??? Je umechukua mikakati gani kuhakikisha unaitatua?? Nadhani katika wizara zote hii ndiyo imeoza
Unajua kule nyumbani ccm walimbwaga Kamanda Tibaigana wakampitisha mama. matokea yake hata kufukuza nzi hawezi achilia mbali kufuta bovu la bia kwenye glasi
Maafisa wa pale wote ni mguu ndani mguu nje? Kama wafanyakazi ndio wanaokuangusha kwa nini usiwafukuze? Kwa nini usiajiri wengine mbadala? Au wewe umeridhika kabisa na utendaji wa wizara yako?? Watanzania wanataKa majibu, lasivyo ni bora tu uachie ngazi
Unafika ofisini wanakwambia oooh furani amesafiri sasa wiki tatu, jamani watu wakisafiri au wakiwa likizo ndio ofisi zao zinafungwa?? Huu ndio utawala bora kweli? Hakunawanao kaimu nafasi zao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.