Wizara ya Ardhi

Wizara ya Ardhi

huyu bibi kazi imemshinda kinyume na mategemeo ya wengi, arudi akachome ndizi nyumbani.

Kazi imemshinda haswa, sasa kwanini analazimisha kufanya kazi asiyoiweza?
Sio ndizi tu, piaakacheze na kadogori kwa katelelo...hovyo kabisa
 
Mkuu nimekupata sana. Unaonekana kujua uozo wote wa wizara hii. Ur suggestion is very paramount. Lkn kwanini hizi shughuli zisibinafisihwe tu kwa makampuni binafisi? Naamini kuna asasi binafsi zinaweza kufanya hizo kazi kwa ufanisi zaidi with maximum output

A la Netgroup Solutions? In that case we need to bring back Mh. Nkapa.....in any case it looks like CCM will be short of candidates come 2015!
 
A la Netgroup Solutions? In that case we need to bring back Mh. Nkapa.....in any case it looks like CCM will be short of candidates come 2015!

Whatever the way, hawa watu kazi imeshawashinda kabisa. Kwa sass ninachotaka kufanya ni kutembea na kamguu ka kuku tu kila nikimwona kigogo wa ardhi unampunguza tu taratibu....wananchi tushachoka sasa ndiyo maana watu wanajichukulia maamuzi mikononi maana ofisi tulizozipa nafasi hazitimizi wajibu wao
 
Mi siamini kama ni sahihi kulaumu wizara nzima kuwa imeoza,mtoa mada unatakiwa uwe specific kazi yako imekwamia wapi,na tatizo ni nini,na we umechukua hatua gani.Sikatai inawezekana Kuna baadhi ya watumishi wana mapungufu,na wizara imelitambua hill kwa kuweka kitengo/ofisi ya kupokea na kushughulikia malalamiko,ipo ghorofa ya sita,je mleta mada alishatoa malalamiko yake?pia,Kuna ngazi za kiutawala,alishaenda kulalamika?
 
Wizara ya Ardhi ilishindikana toka zamani. EL aliishindwa. Pamoja na mageuzi na jitihada zote, Pombe Magufuli hakufua dafu! Imagine kwenye lango kuu pale kuna akina mama na Laptop kila mmoja, eti kazi yao ni kuandika kila aingiaye ndani ya jengo. Wanafanya hivyo bila verification yoyote ya majina wanayotajiwa au sehemu/idara waendapo. Total wastage of money and human resource. Tatizo kubwa la Wizara hiyo ni BMW. Kila kiongozi anaye mtoto, ndugu, mjomba nk ndani ya wizara. Kazi ni kulindana! As for the Honourable Minister, no issue is small or straightforward. Once it gets to her desk, it will be donkey years before it is resolved; often times after relentless meaningless or irrelevant queries. SOLUTION? Establish an independent commission to verify its systems and procedures with a view to streamlining them. The commission should also VET ALL EMPLOYEES......na kupeleleza ukwasi wao wa fedha, mali na viwanja! Someone recently told me that one out of every three undeveloped plot in Mbezi, Mtoni Mtongani, Salasala and even Boko, belongs to an official of the lands ministry....under a false name, of course!

Sio hivyo tu, ipeleleze suala la wafanyakazi wa wizara hii kujiuzia viwanja kwa bei ya serikali na kuviuza kwa bei za juu sana.

Pia fedha zao za bajeti badala ya kuwekeza kwenye miradi ya ardhi wanapeana kwenye semina na safari zisizo na tija.
CC Anna Tibaijuka
 
Mi siamini kama ni sahihi kulaumu wizara nzima kuwa imeoza,mtoa mada unatakiwa uwe specific kazi yako imekwamia wapi,na tatizo ni nini,na we umechukua hatua gani.Sikatai inawezekana Kuna baadhi ya watumishi wana mapungufu,na wizara imelitambua hill kwa kuweka kitengo/ofisi ya kupokea na kushughulikia malalamiko,ipo ghorofa ya sita,je mleta mada alishatoa malalamiko yake?pia,Kuna ngazi za kiutawala,alishaenda kulalamika?

Nimetumia njia zote lkn hakuna lolote la kufanyika. Nimejaribu hata kumwona secretary wa kitengo hicho, lkn naye kila ukimkutayuko busy tu sijui anafanyaga nini, mara vikao mara mahakamani, mara nini. Wengine ni maafisa wa kitengo husikakama akima Ma... na wengine,...lakn ni hovyo tu
 
Kila ukifika unaambiwa , file liko checking, liko review, liko EXRA na blabla nyingi. No any approval. Je wanafanya kazi gani hao maafisa? Kama kuna tatizo si bora wanieleze ili ni reverse file na kuanza moja? Hivi wanajua adha ninayoipata kila mara nikija hapo ofisi kwenu?
 
Mi siamini kama ni sahihi kulaumu wizara nzima kuwa imeoza,mtoa mada unatakiwa uwe specific kazi yako imekwamia wapi,na tatizo ni nini,na we umechukua hatua gani.Sikatai inawezekana Kuna baadhi ya watumishi wana mapungufu,na wizara imelitambua hill kwa kuweka kitengo/ofisi ya kupokea na kushughulikia malalamiko,ipo ghorofa ya sita,je mleta mada alishatoa malalamiko yake?pia,Kuna ngazi za kiutawala,alishaenda kulalamika?

Si kitengo kimoja tu chenye tatizo , hapo ni wizara nzima. Mbona kila mtu anamalalamiko na Ardhi? Sikatai kuwa kuna matatizohata secta zingine, mfano Tanesco wakiwa hawana mita watakwambia kabisa, wakiwa hawana miti watakueleza. Lkn kwa nini Ardhi mnakaa na mafile ya watu zaidi ya miaka bila kuyafanyia kazi? Kazi zenuni kupokea tu rushwa, mtu akija na pesa file linatoka ndani ya siku tu, lakn wengine kama sisi ndio tunateseka miaka. Hivi umeshafikiri kwanini watu wanaamua kuuaana? Umeona huoo Singida na Manyara/dodoma mauaji yaliyotokea? Watu wamechoka na kinachofuata ni kujichukulia sheria mkononi baada ya kuona mamlaka walizozipa kazi wameshindwa kutimiza wajibu wao.
 
Kama ni mpambanaji wa kweli aanze na maafisa ardhi wilayani na mikoani, wanajilimbikizia viwanja na kuviuza waziwazi kwa kutumia madalali,
 
Back
Top Bottom