JayKisoti
Member
- Mar 18, 2013
- 7
- 0
Yaani kwenye Internet inaonyesha dhahiri shahiri kwamba watu wanaruhusiwa kupeleka maombi ya kazi, hadi deadline wameweka kwenye website ya zoom na ya kwao... cha kushangaza nafika wizarani naambiwa hakuna kitu kama hicho, yaani bado saaana mpaka wabandike kwenye ubao wa matangazo kwamba wanahitaji watu, daaaah yaani nilichoka...namshukuru Mungu aliyenipa nguvu ya kusimama imara katika hili duuuuuh!