Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

Miezi mingine mlikuwa mnalipwa fresh??

Na je mmeambia chochote kuhusu kuextend muda wa kufanya internship??..maana graduate watachelewa kuja
 
Miezi mingine mlikuwa mnalipwa fresh??

Na je mmeambia chochote kuhusu kuextend muda wa kufanya internship??..maana graduate watachelewa kuja
Yaaah,kwakweli miezi mingine tulilipwa vizuri,kuhusu kuextend internship bado hatujapewa taarifa rasimi

California love
 
Pole sana mkuu.
Kipindi cha bajeti/kuanza kwa mwaka wa fedha matatizo haya huwa yanatokea. Mwaka jana ilikuwa hivi hivi...

Chapeni kazi..
 
Kawaida hiyo. Vuteni subra tu. Mwezi wa 6 &7 wakati wa kubadilisha mwaka wa fedha ndo mtaisoma number vizuri .

Upo muhimbili au mkoani? Swali muhimu hili usipuuze

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Interns msiwaze sana pesa, tieni bidii kujifunza mpate ujuzi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom