Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

prince hall

Member
Joined
May 20, 2018
Posts
17
Reaction score
34
Tarehe 10 mwezi huu tulitegemea kupata malipo yetu ya mwezi uliopita lakini mpaka leo tarehe 20 bado hatujapata chochote, naomba mtukumbuke pia kwa sababu sisi ndio tupo karibu zaidi na wagonjwa na tuna majukumu zaidi katika kutoa huduma sababu tupo Frontline.

Interns doctor, lab na pharmacist, tunaomba tulipwe kwa sababu tuna mahitaji pia,kama pesa hakuna Basi tupewe taarifa kuliko kukaa kimya ,

California love
 
Kama ni kweli, watakuwa hawawatendei haki.
Ni kweli boss, hospital zote za mkoani hatujalipwa ila Muhimbili na Mbeya wamelipwa na hospital zenyewe ili wizara ikilipa hospital pesa ibaki kwenye hospital, hospital hizi zimelipa kwa sababu Wana mapato makubwa ,lakini huku mikoani hospital haziwezi kulipa

California love
 
Ni kweli boss , hospital zote za mkoani hatujalipwa ila mhimbili na mbeya wamelipwa na hospital zenyewe ili wizara ikilipa hospital pesa ibaki kwenye hospital, hospital hizi zimelipa kwa sababu Wana mapato makubwa ,lakini huku mikoani hospital haziwezi kulipa

California love
Endeleeni kupaza sauti, kwenye facebook, instagram, whatsapp, na mitandao yote ya kijamii watawasikia tu.
 
Endeleeni kupaza sauti, kwenye facebook, instagram, whatsapp, na mitandao yote ya kijamii watawasikia tu.
Shukrani boss, kwa kweli inaumiza sana yaani unaingia job saa moja na nusu asubuhi unatoka saa 11 jioni halafu pesa haulipwi kwa muda,

California love
 
Nakumbuka enzi zetu walitufanyia huo ujinga tukagoma, wakatupiga biti uchwara mara kuturejesha Wizarani na barua za mkwara... mara ooh ‘posho’ ni hisani tu inaweza kusitishwa au kukatwa kodi.

Ujinga mtupu na masimango, ndo muanze kuzoea hali ya huko utumwani.
 
Hahaa wakati kwenye barua ya wizara wameandika haikatwi kodi

California love
 
Nakumbuka enzi zetu walitufanyia huo ujinga tukagoma, wakatupiga biti uchwara mara kuturejesha Wizarani na barua za mkwara... mara ooh ‘posho’ ni hisani tu inaweza kusitishwa au kukatwa kodi.

Ujinga mtupu na masimango, ndo muanze kuzoea hali ya huko utumwani.
Daa aisee tunakomaa kweli kweli,nyumbani wazee wanatutegemea na corona hii tabu kweli kweli

California love
 
Tarehe 10 mwezi huu tulitegemea kupata malipo yetu ya mwezi uliopita lakini mpaka leo tarehe 20 bado hatujapata chochote,naomba mtukumbuke pia kwa sababu sisi ndio tupo karibu zaidi na wagonjwa,na tuna majukumu zaidi katika kutoa huduma sababu tupo Frontline,

Interns doctor,lab na pharmacist,tunaomba tulipwe kwa sababu tuna mahitaji pia,kama pesa hakuna Basi tupewe taarifa kuliko kukaa kimya ,

California love
Poleni sana
Busara uliyoonesha kwenye ombi lako (japo sio njia sahihi) kwa serikali hii sikivu mtalipwa.. Naamini humu wakufikisha washatimiza jukumu
 
Atakuwa wa upande wa pili huyu.
Sio daktari maana drs ni wavumilivu sana
 
Poleni sana
Busara uliyoonesha kwenye ombi lako (japo sio njia sahihi) kwa serikali hii sikivu mtalipwa.. Naamini humu wakufikisha washatimiza jukumu
Tutashukuru sana kaka,kwa maelezo niliyopata jioni hii,wizara ya afya bado haijapewa hela na BOT,kwahiyo tatizo lipo wizara ya fedha

California love
 
Back
Top Bottom