Wizara ya Afya: Barakoa sasa lazima kwenye mikusanyiko

Kwani batakoa
Corona ipo na hamna cha lockdown. Na hao walioagizwa kuvaa barakoa watavaa kwa lazima. Naona unalazimisha lockdown ili dhalimu aonekane alikuwa mtu mzuri kwa kutokuweka lockdown.
Kwani barakoa ni kinga ya corona au ni kujifariji tu. Kwa hali inayoendelea huko India ni dgairi corona mpaka sasa haina kinga, ni Mungu tu ataepushe na atusaidie kupata kinga au dawa sahihi lakini hili la barakoa wala si kitu.

Embu tujiulize muda wote tumekuwa tukiishi bila kuvaa barakoa haps Tz situngeshakwisha kama kweli corona inazuilika kwa barakoa.
 
Mimi nasubiri maelekezo ya tume ya wataalamu ya mama ambayo ndiyo itakayo asisi msimamo wa serikali ambao sote tutawajibika nao.

Tangazo hilo ni zuri ila kama lilivyo sasa hivi, kuna uwezekano mkubwa kuwa limetengezwa na wasio kuwa na nia ya dhati ya kuona ugonjwa huu unapiga vita hapa nchini.

Mkuki kwa kwako sasa mkuu: "Kwani wewe unataka je?"
Tutumie njia sahihi,nilidhani kuwa uko kwenye lile kundi linaamini njia za kienyeji
 
Nimeona tangazo la wizara ya afya jinsia wazee na watoto kupitia kitengo chake cha elimu kwa umma likisema uvaaji barakoa kwa sasa sio utashi ni lazima.

Sisi watanzania tulishasahau mambo hizi na tumepambana na waves zote za covid 19 bila haya mabarakoa na sasa mmeanza kutujaza hofu tena

Nimuombe tu rais kama corona ipo iweke nchi lockdown kwa miezi 3 ili tupambane na corona kama kule Kenya ulikokuwa

USSRView attachment 1778484

Wakuu wa Mikoa watoe matamko kwamba ni marufuku abiria kupanda kwenye daladala bila barakoa.
 
🐒🐒🐒
202104340340.jpg
 
Kwa hiyo tume yako hiyo ikisema ili kujikinga na korona tunywe sumu ya mende na wewe utakunywa? YOU ARE JUST A CERTIFIED IDIOT

Mimi sina tume. Tume ni ya rais mama Samia Suluhu Hassan rais wetu wa JMT. Au wewe unayo?

Tume hii ni ya wataalamu sana. Wabobezi na si wapumbavu kama wewe. Kwa hakika wewe huwezi kuwa humo.

Tume hii haitakuja na upumbavu kama wako achilia mbali unaoufikilia. Tume hii itakuja na majibu sahihi pasi na shaka yoyote nini na namna gani ya kufanya kupambana na ugonjwa huu ili tuweze kuvuka salama.

Hii siyo tume ya nyungu!

Tume hii haiwezi kuja na majibu ya kipumbavu kama yako kuwa sumu ni suluhu ya ugonjwa huu. Achilia mbali hata ile tu kuwa una mawazo ya kipumbavu.

The having been said, "no wonder you are indeed more than A CERTIFIED IDIOT among the Idiots!"

Kwa maana nyingine wewe ndiyo baba lao kweri kweri! Yaani baba lao wote including the CERTIFIED IDIOTS!

Umenisoma sawa sawa mjomba.

Habari ndiyo hiyo.
 
Hii nchi miamba ni tundu lissu, shangazi, Maria Sarungi na Masoud Kipanya. hawa walisimama imara kupinga upuuzi wote wa marehemu. hawa wengine ni washenzi ambao walipaswa wazikwe nae. watu wenye ndimi mbili ni washenzi kuliko ushenzi wenyewe
 
Nimeona tangazo la wizara ya afya jinsia wazee na watoto kupitia kitengo chake cha elimu kwa umma likisema uvaaji barakoa kwa sasa sio utashi ni lazima.

Sisi watanzania tulishasahau mambo hizi na tumepambana na waves zote za covid 19 bila haya mabarakoa na sasa mmeanza kutujaza hofu tena

Nimuombe tu rais kama corona ipo iweke nchi lockdown kwa miezi 3 ili tupambane na corona kama kule Kenya ulikokuwa

USSRView attachment 1778484
Vema na vizuri sana. Pia mashuleni wanafunzi wavae.
 
Tutumie njia sahihi,nilidhani kuwa uko kwenye lile kundi linaamini njia za kienyeji

Angalia tangazo lile ni faked. Haikuchukui muda kuona hivyo. Njama za
kijinga jinga kujaribu kuiprempty tume kabla ya ripoti yake.

Simo kwenye kundi hilo, sijakuwamo wala sitakuja kuwamo kwenye kundi kama hilo.
 
Wanasema waungwana:

"mwana wacha kupiga mayowe, waache waone wenyewe!"

Mama kafundwa akafundika. Siasa si ugomvi. Siasa ni pamoja na kwenda hata na wapumbavu sambamba.

Kwani lazima kuvutana? Kwani maneno matupu yaliwahi kuvunja mfupa?

JK - shikamoo, wewe ni dume la mbegu baba wa demokrasia ya kweli hapa nchini.
 
Hata hivyo lisemwalo lipo au linakuja.

Wanajaribu kui discredit ripoti ya tume kizezeta zezeta kabla haijatoka.

Ripoti ya tume haiwezi kuyakosa hayo ndiyo maana mikutano yote aliyotokea mama siku za karibuni ina tahadhari stahiki.
 
Wanasema waungwana:

"mwana wacha kupiga mayowe, waache waone wenyewe!"

Mama kafundwa akafundika. Siasa si ugomvi. Siasa ni pamoja na kwenda hata na wapumbavu sambamba.

Kwani lazima kuvutana? Kwani maneno matupu yaliwahi kuvunja mfupa?

JK - shikamoo, wewe ni dume la mbegu baba wa demokrasia ya kweli hapa nchini.
JK yupi huyo?Huyuhuyu alietuletea Kayafa kisha Mungu akamuua kwa Corona ili kutuepusha na balaa lake?
 
Si huwa mnadai cjui CCM inaandaa viongozi, mara wanafanyiwa vetting na system inakuaje huyu hamumuamini!! Au sio mwana CCM?

Hahahhaha CCM is overrated kumbe hta nyie hamna imani na mwenyekiti wenu!! Afu utasikia oooh Kitengo ndio hupanga Rais!!

Cc Pascal Mayalla
Mkuu zitto junior,
Huu uandishi uliotumia hapa hatujauzoea kwenye mabandiko yako
..'cjui' 'hta'
Ni mikogo au umeamua kuwapa shavu akina ata, apo, iyo

Uzito wa hoja zako hauendani na aina hii ya uandishi.
 
JK yupi huyo?Huyuhuyu alietuletea Kayafa kisha Mungu akamuua kwa Corona ili kutuepusha na balaa lake?

Kosa si kufanya kosa bali kurudia kosa.

Yeye sasa hivi ni JK the Don ila si Nalimison. Anatoa masomo tu ya kuuma nakupulizia.

Mataga wamepuliziwa hadi wamestuka wenyewe. Awamu ya tano kwishney!
 
Back
Top Bottom