Wivu

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
Mume alienda shamba akamuacha
mkewe na nduguye nyumban,
aliporudi hakuwaona mara
akasikia sauti kutoka chumbani
ahaa shemeji lamba haraka!
2malize nataka nikaoge. mume
alifungua mlango kwa hasira
hamadi! akawakuta wanacheza
karata! tena wako bize.mume
hoi!!!
 
Mume alienda shamba akamuacha
mkewe na nduguye nyumban,
aliporudi hakuwaona mara
akasikia sauti kutoka chumbani
ahaa shemeji lamba haraka!
2malize nataka nikaoge. mume
alifungua mlango kwa hasira
hamadi! akawakuta wanacheza
karata! tena wako bize.mume
hoi!!!
Upuuzi huu!Karata wanachezea chumbani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom