Wakubwa,
Nilishasikia toka zamani kidogo kuwa kawaida Baba ndani ya nyumba anapata wivu kidogo inapofikia wakati wa kumuoza bintiye, hali kadhalika Mama anakuwa na aina fulani ya kijicho pale Kijana wake wa kiume anapotangaza kuanzisha uchumba na binti wa mtu kwa nia kumuoa!...
Huenda wengine tumeshaona Live pale binti anapoleta habari nyumbani kuwa amepata Mchumba, Mama anaweza kuipokea taarifa hiyo kwa vigelegele, lakini Baba itamchukua muda kidogo, na wakati mwingine ataanzisha sababu sababu, na hata kufikia baadaye kumkataa kijana muoaji!
Binafsi sasa hivi nina'handle 'ushenga' ambao una mvutano mkali sana kati ya Baba na Bintiye, ambapo baba anaonyesha wazi kutokumkubali kijana muoaji bila sababu za msingi, na anasema kuwa "huyo mwanaume atakuja kukuacha baadaye"...My hairs!
Wanajamvi, naomba maoni yenu endapo jambo hili la wivu lina ukweli ama ni hisia tu!
Hahahaha...si hivyo mkuu wa TDL...
Ishu ni kwamba aje kwa nidhamu. Siyo eti kudadadeki kaja na msuruwale wake kafungia kwenye mas.aburi sijui kasuka nywele na kutoga masikio anabisha hodi eti analeta posa kwa Matesha wangu.
Pambaf zake!!
MkuuMkuu,
Ukila Mahari ya mtu unategemea nini?..Thats the PRICE of accepting the bride Price!...kuwa mpole na utulize jazba, vinginevyo utaanguka kwa presha!
Babu hapo mbavu zangu.....!Ishu ni kwamba aje kwa nidhamu. Siyo eti kudadadeki kaja na msuruwale wake kafungia kwenye mas.aburi sijui kasuka nywele na kutoga masikio anabisha hodi eti analeta posa kwa Matesha wangu.
Pambaf zake!!
Mkuu!PJ
Habari mkuu,
Wanaume wengi huwaonea huruma mabinti zao! Fikiria wazee wetu utakuta wako kwa mromboo na vibinti na wakutana na akina jamaa hawa waoaji. Wanakuona ulivyo kimwaga. Kila akienda pale anakukuta na binti tofauti! Asikutilie Shaka kuwa we hufai. Ndege wafananao huruka pamoja! Wanaume wanajua vile wengi wetu tulivyo! Same applied kwa wamama! We kaa nao watakwambia Aah yule hapana, keshaharibu mimba mara kadhaa! Saa nyingine ni uwongo tu imetokea hampendi tu kisa alimwona pahali na kavulana! Saa ingine wana hofu tu ya kutokupata zile zawadi walizozoea kuzipata toka watoto wao wa kiume!
Acha mambo ya kizee weweeeeee!Mkuu
kula mahari yako sio sababu ya kunifedhesha mbele ya kadamnasi, vigezo na masharti kuzingatiwa.Kama mie na mama yako hatujakulea katika mazingira hayo unayotuonyesha ww umeyatolea wapi..?
Kwanza kama vimahali vyenyewe naweza kukurudishia, mbona powa tu.....!
Wakubwa,
Nilishasikia toka zamani kidogo kuwa kawaida Baba ndani ya nyumba anapata wivu kidogo inapofikia wakati wa kumuoza bintiye, hali kadhalika Mama anakuwa na aina fulani ya kijicho pale Kijana wake wa kiume anapotangaza kuanzisha uchumba na binti wa mtu kwa nia kumuoa!...
Huenda wengine tumeshaona Live pale binti anapoleta habari nyumbani kuwa amepata Mchumba, Mama anaweza kuipokea taarifa hiyo kwa vigelegele, lakini Baba itamchukua muda kidogo, na wakati mwingine ataanzisha sababu sababu, na hata kufikia baadaye kumkataa kijana muoaji!
Binafsi sasa hivi nina'handle 'ushenga' ambao una mvutano mkali sana kati ya Baba na Bintiye, ambapo baba anaonyesha wazi kutokumkubali kijana muoaji bila sababu za msingi, na anasema kuwa "huyo mwanaume atakuja kukuacha baadaye"...My hairs!
Wanajamvi, naomba maoni yenu endapo jambo hili la wivu lina ukweli ama ni hisia tu!
Na wanasema marufuku mama mkwe kuja kuja nyumbani hapa kama unamatatizo yatatuliwa huko huko
Mabinti wakiolewa wengi wanabadilika sana tofauti na wanaume wakioa
Thanks Kongosho kwa kufatilia kwenye grassroot!
Off-records, hiyo Namba 4 huenda ilimwogopesha zaidi mzee!
Haswaaa, wivu tuThis is a matter more serious than tunavyofikiri!
Hivi kuna anaejua kutokuelewana kati ya binti na Mama mkwe wake kuna asili gani?
Basi hii ya Kongosho ndiyo chanzo kikuu!...actually hakuna sababu maalum, ni imaginations na wivu tu!
Wanao walivyo wakware nani atawaruhusu waisogelee nyumba ya ODM?
Sasa dadaangu, suala la kuharibu mbegu linaingiaje , wakati familia inayoenda kuanzishwa ni ya watu wengine, na hapaswi kuiingilia, ili mradi kama wao wamependana?Hii ilitokea kwangu kama mara 2, kwanza Baba alisema mwanaume huyu mfupi ataharibu mbegu yangu, wa pili hakuwa na tatizo ila alisema binti yangu bado mdogo atateswa huko. Huwa ni mitizamo tu ya wazee.
Ngoja hao masharobalo wakupigie mimba Matesha ulee wajukuu vizuri
Nyie vijana wawili, hebu temeni mate chini Mungu apitishe mbali.Babu hapo mbavu zangu.....!
Alafu anakuja huku anaimba....!
Yo..! Yo...!Yo...!
mie ni mwamba, nimetoka kijanja
nakula ganja, mirungi pia inapanda
baba mkwe msha...........!!!!!!!!!
Mara anakuona anazuga kuimba mapambio ya kanisani, sijui kaswida za msikitini...!
babu unalo hilo...! ndio mwanao kashakolea hapo.
Mkuu,
Ni kitu cha ajabu sana!...We mkuu chukulia we una binti akamleta chalii nyumbani, vipi utakuwa Normal au mkuu utalianzisha?
Mbona wewe ulinitorosha nikiwa darasa la 4?Nyie vijana wawili, hebu temeni mate chini Mungu apitishe mbali.
God forbid!
Broda Losambo,PJ heshima kwako mkuu.
Ni kweli akina baba huwa wagumu kutoa maamuzi kuruhusu binti zao waolewe kwa sababu kuu kama mbili;
1.0 Kujiridhisha kama muoaji ni mtu muadilifu ambaye hawaweza kuleta mgogoro na familia yake.
2.0 Pia, kwa akina baba kama amemgharamia sana huyo binti mpaka akafika mahali anajiweza kwa kiasi fulani huona uchungu hasa ikiwa muoaji hayupo vizuri. Kuna nadharia kama huyo muaaji kajileta kwa sababu tu kaona binti yupo vizuri.
Kwa mtazamo wangu ni hayo.
Sasa kama darasa la nne ulikuwa na miaka 27 kuna ubaya gani?Mbona wewe ulinitorosha nikiwa darasa la 4?
Nyie vijana wawili, hebu temeni mate chini Mungu apitishe mbali.
God forbid!