Ha ha haaaMie huwa naona tu inakuwa huzuni kwa wazazi kuondokewa na mtoto wao..ila la wivu ndo nasikia shemeji,,
Huyo kijana aliyekuchagua uwe mshenga yawezekana ni sharo ndo maana baba amemshtukia
No Thank you!
Ni mtafutaji mbaya, na ana machungu na life!
Mkubwa wa Tusker Special Malt,Kiukweli,
Hata mie nna kawivu na tubinti twangu.
Atakayekuja kuniletea posa kwa binti zangu anapaswa awe kamili. Nna mpango wa kumiliki AK47 muda si mrafu.
Kiukweli,
Hata mie nna kawivu na tubinti twangu.
Atakayekuja kuniletea posa kwa binti zangu anapaswa awe kamili. Nna mpango wa kumiliki AK47 muda si mrafu.
Hivi kweli vijana wangu waoe afu nimpende mkamwana? I dont think so.
Wanavyosumbua hivyo? Wanavyonipenda hivyo?
Atakayekuja kuniletea posa kwa binti zangu anapaswa awe kamili. Nna mpango wa kumiliki AK47 muda si mrafu.
Ni kweli kabisa, haya mambo yamewahi tokea kwa mtu wangu wa karibu kabisa.
Baba wa binti alikataa kata kata kupokea uchumba kwa sababu zisizo na msingi.
Baada ya jamaa kusubiri kama mwaka mzima, ikabidi amtoroshe binti na kumuoa kwa nguvu baadae ndo wakahalalisha.
Nilivyoaccess ile situation sababu kubwa ilikuwa,
1. Baba alikuwa kiwembe sana, alikuwa anareflect tabia yake kwa kijana aliyetaka kumuoa binti yake.
Mwanamme akiwa mhuni sana, haamini kama kuna mwanamme mwingine dunuani mwaminifu au anayeweza kuishi na mke kwa furaha. (Anajaribu kumlindwa kwa kitu kisocho hatari)
2. Baba wengine wana wivu usio na kichwa wala miguu kwa watoto wao, anataka kumlinda hadi siku anaingia kaburini bila sababu ya msingi.
3. Dini ilikuwa tofauti
4. Race, kijana alikuwa mwarabu na binti mswahili so ni kama hakuwa confortable na mwanae kwenda kule.
Mkubwa,
Nina maana ni mtamu kumtazama....si zaidi ya hapo broda, after all mimi ni mshenga kwenye ishu hiyo!
This is a matter more serious than tunavyofikiri!Hivi kweli vijana wangu waoe afu nimpende mkamwana? I dont think so.
Wanavyosumbua hivyo? Wanavyonipenda hivyo?
Afu kije kisista du kinipiku? Ntaua.
Huu ni ukweli mchungu sana kwa akina mama na ngumu kuukubali.
This is a matter more serious than tunavyofikiri!
Hivi kuna anaejua kutokuelewana kati ya binti na Mama mkwe wake kuna asili gani?
Basi hii ya Kongosho ndiyo chanzo kikuu!...actually hakuna sababu maalum, ni imaginations na wivu tu!
Mkuu,
Hapo sawa mkuu najua "macho ndio yanaongea" Wakina mama wengi mabinti zao wakishakuwa wakubwa, mara nyingi hawawataki kwenye majumba wanataka wakaanze maisha yao, wanaona kama wanabanwa vile!
Sasa pindi atakapotokea mtu wa kutaka kuoa, wao ndio wa kwanza bila kuchunguza wala vikwazo, hata kama anaetaka kuoa ni mzee..! au mbeba zege! yeye kwake ni poa tu...! anaogopa asije kuwa muhuni au kuzalia nyumbani na mambo kama hayo.
Ndipo hapo msimamo wa baba pia unapojitokeza, Baba kama yuko hai hawezi hata siku moja akakubali binti yake aolewe na mwanamme umri kama wake, labda asiwe mjini.
Pia hataki mwanae apate tabu ya maisha na mambo mengi ya wanaume kama AshaDii alivyoeleza....!
Baba kwa upande wa mtoto wa kiume akishafikia umri wa kuoa anaona bora asepe mbele kwa mbele akajitafutie ki vyake kwani mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Hapo mkuu uvumilivu ni ziro kwangu nasepa mzima mzima na sitaki tena akanyage kwangu akamtafute babaake!binti, alimfuata mchumba wake alipokaa, akamwinua na kuanza kumlambalamba mbele ya wazazi, hadi MC akasema "sijawaruhusu kuanzisha zoezi hilo"!
Broda,Unajisikiaje binti yako anaolewa na mpiga debe
chakula, kodi ya nyumba binti anategemea kwako haishi kuja kulia kuomba msaada unajisikiaje hiyo?
Hahahaha...si hivyo mkuu wa TDL...Mkubwa wa Tusker Special Malt,
Una maana gani?
Au unatunza risiti zote unazowasomeshea binti zako nini Mkuu, halafu unataka jamaa aje ahesabu gharama?!
Broda,
Hapo sasa unaongelea mambo ya UWEZO zaidi!...japokuwa napenda nikutahadharishe kuwa usiombe binti yako akampenda mpiga debe, maana wanawapendaga haswa, sijui wale vijana Makonda na wapiga debe wana sumaku gani! Nina incidence ambayo binti wa form 4 alimpenda mpiga debe hadi kufukuzwa kwao na akaenda kwa huyo jamaa, kuishi. Matokeo yalivyotoka binti amefaulu njema kabisa!...Ilibidi wazazi wafanye negotiations kiutu uzima, na hatimaye binti alikubali kumwacha jamaa kwa muda akasepa kwenda A-Level Kilakala!
Mkuu,Hapo mkuu uvumilivu ni ziro kwangu nasepa mzima mzima na sitaki tena akanyage kwangu akamtafute babaake!
Alafu wanalambanalambana hivyo siku mbili tatu, wananipigia hodi wanaomba msaada.....! nyoooo! sitoi kitu.
Wanao walivyo wakware nani atawaruhusu waisogelee nyumba ya ODM?Tubagain basi
Ila unipe mahari weye
Nina vijana wa kutosha huku kwangu.
Smart kama mama/baba yao