Wivu unanimaliza!

Mh usije ukawa viungo vimezidi kunako mwambie apunguze manuizi ikishindikana muombe mungu utakufa bure
 
Kila nikisoma hii sred nacheka tu, napata picha hii
 

Aisee hapa unakosea sana. Najiamni sana tatizo hili sio kwake tu hata kabla sijakutana nae huko nyuma nimeteseka hivi hivi. Aisee nahitaj kuondokana na hii hali juzi kaniambia ameota ndoto ila kaogopa kuniambia eti roho itaniuma yani hapo ndio nimewaza mpk basi
 
Punguza, utampoteza.

Hasa hiyo ya kumfuata akiwa out na marafiki zake, unamuaibisha sana, basi tu hana la kufanya.

Niliwahi fanya kazi mahali, kuna mafanyakazi tena alikuwa na cheo, mkewe alikuwa anamfuata ofisini, alikuwa naona aibu sana anajikaza tu. Unamfanya awe topik kwa marafiki zake, na hakuna mtu anayependa hilo.

Wee kaa naye uongee naye, muone kama kuna jinsi anaweza kukusaidia kwelye hili.

Lol! Hapa ndio nachoka sasa au labda anpenda hiyo hali...lkn hapana
 
kama umegundua ni tatizo basi ni rahisi kulitibu, kuwa makini sana maana unaweza kufanya maamuzi mabaya ukaja kujuta baadae, wivu ni mzuri lakini unapozidi inakuwa ni kero sana hadi watoto wanakuwa wanajua
 
mi nahisi huyo mpenzi wako atakua na tiba halisi,mtafute sehemu tulivu mwende mkae mkumbushane good times ununue na zawad,afu mwambie hili tatizo kwa namna ulivyosema hapa !you will solve this problem together!

Asante kwa huu ushauri hebu nianze arrangements hii weekend twende nje ya mji labda nikimwambia atajua na mimi hii hali siifurahii
 

Kila nikiwaza hilo la kumpoteza kizembe namna hii ndio nachoka kabisa. Si kwamba namuabisha tu ila kuna wakati najiona najiabisha mwenyewe ila nikizidiwa naenda tu naona bora niaibike ila nibaki hai kuliko anikute nshatokwa mipovu ya presha, lol!!
 
Kistroke kinakutamani sema hujaingia kwenye 18 zake!
Meku onea wivu pesa, bila kumungunya maneno huzungushi gurumu la ujenzi wa taifa vizuri, una muda mwingi wa kupoteza ama demu uliomuoa ni class ya juu ndo maana hujiamini.

Aisee sijui kwann mnachanganya hii tatizo langu na kujiamini!!!! Najiamini sana, ni mwanamke wa class ya kawaida, ni mzuri wa kawaida but wife material. Tatizo hii hali hata kwa vicheche kabisa ishawahi kunipata. Kuhusu kuniathiri kikazi sina hakika sana kila mara niko pale nlipopaswa kuwepo ili nipate hela shida inakuja wakati nahangaika ni lazima awe either kazini or nyumbani kitu ambacho ndio nataka niondokane nacho. Natamani nimwache awe huru kidogo ila naishiwa nguvu kabisa
 
Pole,sana lakini usiuendekeze moyo unaweza kuja kufanya jambo ukaja kujuta,jiulize ivi yeye angekua kama wewe ungehisi kero au ungeweza kuvumilia? huyo mwanamke anakupenda na mungu akuzidishie lakini ili akuelewe kama umeshajipanga na maisha muoe sababu wanawake wa sikuizi wengi michosho,
Baby nyingi watakupa BP isikua ya lazima.............
 

Inaonekana wewe una dhakari ndogo harafu unamaliza kazi kama kuku vile wasiwasi wako akipata mtu mwenye mpini ulioshiba atakuacha inatakiwa upige kitu mpaka anamaliza wiki hana hamu na mwanaume ni mtazamo wangu tu.
 
Kwani wewe ni mita ngapi kutoka usawa wa bahari? Samahani lakini kama ntakwaza mtu.

Kila nikiwaza hilo la kumpoteza kizembe namna hii ndio nachoka kabisa. Si kwamba namuabisha tu ila kuna wakati najiona najiabisha mwenyewe ila nikizidiwa naenda tu naona bora niaibike ila nibaki hai kuliko anikute nshatokwa mipovu ya presha, lol!!
 
Upo kama mimiii lol lakin ukizidi ni majangaaaa

Mi mwenyewe napenda lol..yaaan nipigiwe simu usiku na mwanaume mwingne kunitakia usku mwema usimind?..aah cmon huwez jua ukute anapenda pia ndo maana anakufanyia upendavyo..ongeeni
 
Kwani wewe ni mita ngapi kutoka usawa wa bahari? Samahani lakini kama ntakwaza mtu.

Funguka kidogo umezidi sana kutumia tasfida mpka hata sipati picha unataka kujua nn!!??
 
Inaonekana wewe una dhakari ndogo harafu unamaliza kazi kama kuku vile wasiwasi wako akipata mtu mwenye mpini ulioshiba atakuacha inatakiwa upige kitu mpaka anamaliza wiki hana hamu na mwanaume ni mtazamo wangu tu.

Hahahaa....kama ulivyosema ni mtizamo wako, Lakini kama hili ndio lingekuwa tatizo ningelishughulikia lenyewe, kwanza linatibika. We huwaoni akina Mzizimkavu wanvyojinadi humu dawa zipo alafu usumbuliwe na jambo dogo hilo.
 
Una wivu wa kawaida sana, sehemu kubwa hapo naona insecurity

Ndo mana unahisi kupinduliwa all the time dawa yake ni kujiamini tu baaas!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…