Wivu umeniponza

Kweli unatia huruma. Kwa visa vyote anavyokufanyia bado unaona umeponzwa na wivu? Badala ndo useme bye bye kwa huyo gume gume.
 
Ushauri wa bure huyo bidada atakuja kukuua bure, baki njia kuu.

Yesu Anaponya.
 
Haki ya mungu pole kaka angu mungu atakup chaguo sahihi uyo sio wako sali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss acha uzombi! Unamkosoa Mungu kwa kukuumba mwanaume....hiyo ni kufuru sasa.
 
Aisee Ali kufanya babu jinga?
I hope now umeerevuka.
 
Mkuu ulinywewa kojo na chumvi nini? Maana sio kwa kutojitambua huko umekua luba.

Pole
 
Kifupi huyo ni malaya wa viwango vya standard gauge mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahahahahahahahahahahaha yaani ingekuwa ni mimi angelipa mpaka tone la mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…