Wivu umeniponza

Muache aende, tafta mwanamke ambae atakupenda wew kama wew. Huyo kakupendea pesa na nnahic hata akili c zako amekushkia maana mtu hakueshim lakini umo tu eti unampenda. Kwa nnavoona hata ndugu zako hatowapenda hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da Doris nahisi sitopenda tena maishani kwa madhila alonitenda Bi Dada nili jitoa kwa moyo wangu wote leo hathamini nini nilimtendea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kuwa huyo mtu hakupendi yani hata usilaumu wivu wako.
Yani hakupendi kabisa anapenda pesa zako na ni bora uachane naye mapema usiendelee kuwekeza.
Kwa jinsi unavyojitoa asingekuwa na jeuri ya kukujibu hivyo anavyokujibu achana naye tafadhali achana naye narudia mpotezee kabisa utakuja lia mbeleni.
 
kwanza faham mapenzi ni hisia zinazotoka kwa watu wawili wapendanao, ww ulimpenda lakini mwenzio hakua akihitaji mapenzi kutoka kwako ispikua anahitaji huduma tu. kwake mapenzi ni biashara jipange upya mola atakusaudia lkn achana na huyo dada apakupelekea ufanye vitu vya ajabu watu wote washangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg,kaza moyo wako ww ni mwqnaume,kwa story yako hii nilivyokuelewa ni kwamba huyu mama hana mapenzi ya kweli kwako bali anafuta maslahi ya pesa na pia ni malaya na kwakuwa ameona umeyumba kiuchumi mwenzio mapenzi kayahamishia kwingine ndio maana hakutaki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We utakua hujui kufanya matusi, vinginevyo kwa kumjali kwako, hakuna mwanamke angekutolea maneno hayo.
 
wanaume wa dar wanachunika vibaya nawaonea huruma jifunzeni kuwa makatili mtaishi kwa furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…