wivu ukizidi ni tatzo nakonda jamaniii

wivu ukizidi ni tatzo nakonda jamaniii

Mmh! Yan ujawai chepuka af umeyarudia hyo maneno Zaid ya Mara moja?
 
Mmmmh mbona kama unanisema Mimi aseee,poa bhana nimekomaa kimbelembele cha kukupigia pigia cm[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mchane laivu mwambie asikufuatilie au kama vipi muachane. Ya nn kujitesa we mwanamke au ndiyo unampenda sana. [emoji4]
 
Huyo wa hivyo ndo mzuri tena shukuru Mungu kabisa,jitahidi hata ukiwa msalani mwambie bby ndo naingia toilet ukitoka mwambie ndo natoka nishamaliza haha,aiseee hiyo bahati sana ujue hata kama inakukera ila ni nzuri kuliko kuwa na mahusiano na mtu hakutafuti siku 2,3 anakutafuta akipenda yeye,unaweza juta aisee na mm natamani nimpate wa hivyo nitapiga goti nisali kwa shukrani maana hata nikitaka kwenda kuoga, naaga. Ila kwa akili ya ziada unions mwanaume Ana Fanya hivyo ujue ni mchepukaji mzuri sana anakuwa anahisi na ww unafanya kama yeye anavyo fanya
 
Zidisha mawasiliano hata ukienda take dump ukitoka mtext

"baby nimetoka toilet kukata gogo"
 
sawa ila nachokonda mie kumuona mara nying tunagombezana maana anakuwa hana raha mi nawaza nifanyaje awe na raha na kaz za watu nyingine kushika simu ishu..by the way asante kwa ushaur
Jaribu kumfanya awe secure. Muache awe free na devices zako mfano simu. Yani jitahidi kumuondolea aina yoyote ya wasiwasi ambayo anaweza kukutana nayo.

In time atakuwa na amani.
 
Wewe dada yangu...ifanye kama kautaratibu tu kila baada ya muda unamcheki...wakati mwingine umuanze wewe kutaka kujua yuko wapi tena nawewe unafuraaa kweli kweli kiaina tu atagundua kitu na atapunguza!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba tit for tat? Ukifanya ujinga nafanya upumbavu!
 
Huyo wa hivyo ndo mzuri tena shukuru Mungu kabisa,jitahidi hata ukiwa msalani mwambie bby ndo naingia toilet ukitoka mwambie ndo natoka nishamaliza haha,aiseee hiyo bahati sana ujue hata kama inakukera ila ni nzuri kuliko kuwa na mahusiano na mtu hakutafuti siku 2,3 anakutafuta akipenda yeye,unaweza juta aisee na mm natamani nimpate wa hivyo nitapiga goti nisali kwa shukrani maana hata nikitaka kwenda kuoga, naaga. Ila kwa akili ya ziada unions mwanaume Ana Fanya hivyo ujue ni mchepukaji mzuri sana anakuwa anahisi na ww unafanya kama yeye anavyo fanya
haha yani nimeifurahia sms yako mwishon ukaharibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jaman ebu nisaidieni yani nipo kwenye familia toka nimeolewa cjawah chepuka walai nife kesho....lakini huyo mwenzangu anawivu mpaka naumwa nakonda yan nikiwa kazini anataka kila baada ya saa nimpigie au txt usipofanya hvyo atatafuta chochote mpaka akugombeze yana anapanic hatar...sikai kwa raha ukiondoka ukifika kituon umwambie ukifika kazin ukila sasa muda mwngne nachoka sana ukijsahau tu ugomvi ila xjawah chepuka sasa nawaza nimfanyeje?? nimemchunguza yani ni wivu tu na ananionyesha mapenz ya kweli yooote hana shida tatizo wivu sipumui kabsa yani...nipen ushaur tu ninenepe...
Waoo wasaidie na wengine ili wajue hii aina ya diet ili wasijiumize na madawa ya kuharisha ili wakonde.
Anyway mapenzi yako tofauti na yanapokewa tofauti na kila mmoja wetu...... Jizoeze mdogo mdogo utazoea tu
 
Ndo shida ya wanawake ukionyesha kujali sana means anabanwa. Na usipofanya ivo yatazuka mengine.

Of course huwa siwaelew nyie watu na tambua kuna watu wanataman kupata wa hivyo. Zaid ni kumueleza tu wenda before au after kama utakuwa busy au ulikuwa busy.

Mwenyewe I like that na huwa nafanya ivyo si sababu ya wivu wala nini ila naridhika sana
 
nimewaelewa sasa ntafanya vile anataka yeye
 
Back
Top Bottom