wivu ukizidi ni tatzo nakonda jamaniii

wivu ukizidi ni tatzo nakonda jamaniii

ali choka

Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
34
Reaction score
15
jaman ebu nisaidieni yani nipo kwenye familia toka nimeolewa cjawah chepuka walai nife kesho....lakini huyo mwenzangu anawivu mpaka naumwa nakonda yan nikiwa kazini anataka kila baada ya saa nimpigie au txt usipofanya hvyo atatafuta chochote mpaka akugombeze yana anapanic hatar...sikai kwa raha ukiondoka ukifika kituon umwambie ukifika kazin ukila sasa muda mwngne nachoka sana ukijsahau tu ugomvi ila xjawah chepuka sasa nawaza nimfanyeje?? nimemchunguza yani ni wivu tu na ananionyesha mapenz ya kweli yooote hana shida tatizo wivu sipumui kabsa yani...nipen ushaur tu ninenepe...
 
Wewe dada yangu...ifanye kama kautaratibu tu kila baada ya muda unamcheki...wakati mwingine umuanze wewe kutaka kujua yuko wapi tena nawewe unafuraaa kweli kweli kiaina tu atagundua kitu na atapunguza!!
 
Wewe dada yangu...ifanye kama kautaratibu tu kila baada ya muda unamcheki...wakati mwingine umuanze wewe kutaka kujua yuko wapi tena nawewe unafuraaa kweli kweli kiaina tu atagundua kitu na atapunguza!!
asante ntafanya hvyo
 
Akikupigia cm pokea....hata kama mara 20....baada ya muda atakuamini...
Kuna namna unavyojiweka unamfanya asikuamini....Jichunguze
sawa asante may b nikpta masaa mawili au matatu anakasirika na maranying nafanya hvo kwasababu ya kazi ofcn nawaza sana nijiwekaje
 
Aisee. But kama hakuingilii privacy zako n he just wanna know ulipo /unachofanya then it's oky.
 
Aisee. But kama hakuingilii privacy zako n he just wanna know ulipo /unachofanya then it's oky.
sawa ila nachokonda mie kumuona mara nying tunagombezana maana anakuwa hana raha mi nawaza nifanyaje awe na raha na kaz za watu nyingine kushika simu ishu..by the way asante kwa ushaur
 
huyo anakusaliti ila anatumia njia hiyo kukupambaza kuwa makini
wazo la kwanza lilikuwa hilo nikaweka mitego kila kona ikabuma yan ninamuda nafanyaresearch weng walisema hv
 
Back
Top Bottom