Huo mafano wako umelenga upande wa mwanamme je kwa wanawake wao how does this situations happen?Ni kama unafuga ng'ombe, unamhudumia vizuri kuliko hata wewe mwenyewe unavyojihudumia.
Mwisho wa siku anakuja jamaa anamkamua ng'ombe wako maziwa na kuyanywa.
Na wivu katika mapenzi ni sawa na mfano huo!
Yaani wewe una mke mzuri kabisa, unampatia huduma zote, mwisho wa siku bwege fulani anamnyonya, inauma, na ndiyo wivu huo.
Siku hizi sina wivu kabisa..... Sijui nimepatwa na nini mie....??????Huo mafano wako umelenga upande wa mwanamme je kwa wanawake wao how does this situations happen?
ameolewa, na anajitajidi kumhudumia mumewe vile awezavyo halaf ghafla asikie tu mumewe anamtu mwengine lazima ajiulize anakosa nn na huduma zote anapewa?🙈🙈Huo mafano wako umelenga upande wa mwanamme je kwa wanawake wao how does this situations happen?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hiyo analogy ya ng'ombe haifanani kabisa na uhalisia.Ni kama unafuga ng'ombe, unamhudumia vizuri kuliko hata wewe mwenyewe unavyojihudumia.
Mwisho wa siku anakuja jamaa anamkamua ng'ombe wako maziwa na kuyanywa.
Na wivu katika mapenzi ni sawa na mfano huo!
Yaani wewe una mke mzuri kabisa, unampatia huduma zote, mwisho wa siku bwege fulani anamnyonya, inauma, na ndiyo wivu huo.
Na wewe pia si bado utazipata lakini?Nafikiria vile anavyonifanya ndio anamfanya,zile raha ndio anazipata mwingine huko
Inauma
Sitaki kugawana utamu wangu na mwingine
Hahahah... Sawa dada.Sitaki kugawana utamu wangu na mwingine
Ukiona hivyo jua upendo umekwisha,kama umeolewa chukua hatua kunusuru hiyo ndoa.Siku hizi sina wivu kabisa..... Sijui nimepatwa na nini mie....??????
Mkuu Nina miaka nane sasa kwenye ndoa ambayo imebarikiwa watoto wawili.Muuliza swali yaonyesha huja oa,lkn pia yaonyesha hujawahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi...ushauri wangu OA au uwe na mpenzi usikie anatoka na mwanaume mwingine,then turejeshee mrejesho wa swali lako....pia ningeweza kukujibu kiimani hasa kwa wanandoa kua mkisha oana mnakuwa mwili mmoja....sasa chukua wembe jikate mwilini mwako.