Wivu ni kidonda

Wivu ni kidonda

Sosthenes Maendeleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,723
Jamani kuna msemo unasema kwamba "wivu ni kidonda ukishiliki ugua pole"

Mimi ni mtoto wa familia nimejionea huu msemo ni kweli baada ya kukatamani kabinti ka kazi (housemaid) na kananikubali ila tatizo nahisi pia kanachukuliwa na jirani yetu.

Huyu jirani akitoka kazini bila aibu anajipendekeza na binti anatoka (sijui huwa anaenda wapi) basi mimi ndio naanza kuugulia na maumivu ya moyo. Jamani wivu mbaya acheni kabisa wivu.
 
Duh!
Wee kama mimi enzi hizo. Copyright yani, kazi kweli kweli.
 
kweli wivu kidonda ukishiliki utakonda ..... endelea kula kwa macho
 
Jamani kuna msemo unasema kwamba "wivu ni kidonda ukishiliki ugua pole"

Mimi ni mtoto wa familia nimejionea huu msemo ni kweli baada ya kukatamani kabinti ka kazi (housemaid) na kananikubali ila tatizo nahisi pia kanachukuliwa na jirani yetu.

Huyu jirani akitoka kazini bila aibu anajipendekeza na binti anatoka (sijui huwa anaenda wapi) basi mimi ndio naanza kuugulia na maumivu ya moyo. Jamani wivu mbaya acheni kabisa wivu.

umefunga shule au ndo uliishia kwenye yale matokeo ya divisheni 5
 
Back
Top Bottom