Wivu mwingine unalipa!

Ndio maana unaambiwa mkate wa jirani ni mtamu zaidi kuliko wa jikoni kwako. Angalia ukipanda nyanya kwako housegirl bado atataka kwenda gengeni kununua nyanya ambazo pengine hazina ubora kama alizoziacha nyumbani. Utamu is a relative term. Hata mkate wa kwako ukija kwa njia za wiziwizi ni mtamu kuliko unavyouona kila siku.
 
Mh!Hapana afro,'stolen kiss',ni busu lililokaa kiwizi wizi,la kuvizia loophole ya mwenye mali kuzubaa kidogo then mtu mwingine anayejijua hastahili kutoa/kupata hiyo anaitoa au kupewa!ni mtazamo wangu tu!

hayo ni mawazo yako dear..
and you are in title to your opinion ...

Fikiria tena halafu Ni PM ntakujibu vizuri zaidi
asanteee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom