Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,831
- 637
Kumbe hata wenyewe huwa wana-appreciate mambo hayo, nafikiri wangepewa dushelele wangekuwa wabaya kuliko hata wanaume.....
Ama kweli nyani haoni la kwake ina ukweli mtupu, yaani yeye anaona sufuria la nyama la mwenzake wakati hata yeye analo.Sio wivu, ana admire kuwa wanaume wanafaidi sana
nilikuwa nakohoa tu![]()
Kama kweli wanaume wanafaidi abadili jinsia aone sakata lake,matatizo matupu.