Mpwa katika ubora wako... Hatari sana eti ampe kona ajaribu.. Atamfunga kama David Luiz Jana mpwaa hahahahahahDada mmoja jana analalamika ndoa yake ngumu sana mumewe anambana mpaka penalti nikamwambia mpe kona ajaribu........embu sikiliza wivu wenyewe binti aliaga anakwenda songea kweli kaenda songea
akiwa chumbani akapigiwa simu na mumewe maongezi kama yafutayo
mume:mkewangu unarudi lin nimekumiss sana
mke :narudi hny namalizia soon semina yaani ni naamka asbh mpka jioni
mume:he mkewangu nani huyo kajamba pembeni yako
mke:he mume wangu unajua mpaka saauti ya nanii yangu
mume:nataka kujua nani huyo hiyo sio kijambo chakokabisa
mke:atakuwa mkwe wangu basi
usiiiiii punguzeni wivu wanaume toeni muda kidogo kama wakala wa nishati wanavyotupa bei zao za mafuta wanapojisikia
mpwa katika ubora wako... Hatari sana eti ampe kona ajaribu.. Atamfunga kama david luiz jana mpwaa hahahahahah
paw hizi thread nyingine uweke sehemu husika
mpwa kama aitakiwi humu basi paw nipige ban kabisaaaaaa.....mpwa soma ilipo mpwa hii niseriousss sitaniii kama thiego silva wa psg unamjua huyu????
Ruiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz..........morinyooooohh...hahaaa apenzi wa timuyangu wamenifurahisha ...jana mmoja kaficha bangooo lake baada ya mechi anaonyesha limeandikwa werikamuuuuu baaakiiii ruiiiizzzzz...lohhh baada ya kutuadhibuu..hii tuweke wapi mpwa ...
Aaaah usimzungumzie muhindi mpwa.... Anapga huyo balaaa, wazee wenzangu kule kwenye jukwaa hoi mpwaaa... Ila mpwa kale ka luiz kameitenda the blues yangu roho inauma kweliiiiihaahaaaaaa huko mpwa usifikee tenaaaaa morinyoooo amenifurahishaa reo anamuitaaaaa
ruiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzz very dangerous man....loh kama naona wazee wabet muhindi anavyokunywa kikombe cha kahawa huku mguu unanesa loh
aaaah usimzungumzie muhindi mpwa.... Anapga huyo balaaa, wazee wenzangu kule kwenye jukwaa hoi mpwaaa... Ila mpwa kale ka luiz kameitenda the blues yangu roho inauma kweliiiii