hiyo hapo kwangu haiapply........Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na mtu mkaachana, akakuacha au ukamuacha halafu ukimuona na mtu mwingine husikii wivu tambua kuwa ulikuwa humpendi mwenzako. Wivu ni kipimo thabiti cha mapenzi. Angalizo: Wivu ukizidi husababisha kifo. Ushauri: Maumivu yatokanayo na wivu yakizidi muone daktari. Kwa leo ni hayo tu kutoka kwenye Tafakuri za Alfajiri za Kompanero.
---
"Penzi Kitovu cha Uzembe" - Ngoswe
Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na mtu mkaachana, akakuacha au ukamuacha halafu ukimuona na mtu mwingine husikii wivu tambua kuwa ulikuwa humpendi mwenzako. Wivu ni kipimo thabiti cha mapenzi. Angalizo: Wivu ukizidi husababisha kifo. Ushauri: Maumivu yatokanayo na wivu yakizidi muone daktari. Kwa leo ni hayo tu kutoka kwenye Tafakuri za Alfajiri za Kompanero.
---
"Penzi Kitovu cha Uzembe" - Ngoswe
hiyo hapo kwangu haiapply........
nakupenda tunapokuwa pamoja, nikikuona na mtu nitaumia sana.......yaani wivu unakuwa 100% lakini siku nikikubali kuachana nawe ujue na upendo kwako unaisha...... ndo maana mimi sijawahi kurudi kwa x, hata kama nilikupenda vipi..... ulishapita...... utakuwa rafiki yangu mzuri tu nakini wivu kwako hakuna tena...... tena naweza hata kumtafutia mtu ambaye naona anaweza akamfaa (nimeshawahi kufanya hivi tena kwa mtu ambaye nilimpenda saaaannnaaaa)
hiyo hapo kwangu haiapply........
nakupenda tunapokuwa pamoja, nikikuona na mtu nitaumia sana.......yaani wivu unakuwa 100% lakini siku nikikubali kuachana nawe ujue na upendo kwako unaisha...... ndo maana mimi sijawahi kurudi kwa x, hata kama nilikupenda vipi..... ulishapita...... utakuwa rafiki yangu mzuri tu nakini wivu kwako hakuna tena...... tena naweza hata kumtafutia mtu ambaye naona anaweza akamfaa (nimeshawahi kufanya hivi tena kwa mtu ambaye nilimpenda saaaannnaaaa)
Wivu deep down ni insecurity.Kwa hiyo unasema hakuna mapenzi kwa watu wasio na insecurity?
Jealousy is a natural human emotion.
wrong premises give wrong conclusions - you are asking the wrong question sir, hiyo ni tafsiri yako ya wivu...yaani ukute mpenzi wako anafanya mapenzi na mtu mwingine kisha ukisikia kitu kinachoma moyoni useme ni insecurity?
Ukipenda kweli wivu huja automatically yaani..
ssiweki wala sioni wivu ikibidi nakutafutia kabisa mwanamke ,sirudii matapishi kamwe thats my principle ,kama tuliachana hapo ndio mwisho sitaki mawasiliano na wewe period.ni lipi tunalozungumza tena?????????? lala mbele huko.tukishaachana ndio basi ni sawa nakukatisha pale kongo hunijui sikujui period.utaniharibia hekalu langu jipya mie lol
kati ya yoooote uliyoyaongea hapo ndo mwisho wa matatizo, huna jinsi...... mimi nina jinsi.....I am not with you anymore, unaweza kufanya chochote na hakinihusu.....kila mtu ame-move on na maisha yanaendelea.acha denialism, hapa hatumaanishi kuwa unataka kurudiana naye au you are not over him - tunamaanisha kuwa usiposikia kale kamshtuko kule ndani basi ujue hukuwa unampenda, hayo mengine yote ni jitihada tu za ku-move on na kujiaminisha (kujipumbaza) kuwa upendo umeisha hivyo unaweza hata kumtafutia mtu; hivi unajua kwenye baadhi ya jamii zenye mitala ni mke anayemtafutia mume mke wa pili hivyo hicho sio kigezo cha kusema eti unafanya hivyo kwa sababu humpendi tena au huna wivu naye tena, ni namna tu ya kuendelea na maisha kwa kuwa huna jinsi...
Perhaps he is a different breed.
huo nao eti unaitwa wivu, lol!mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.
nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.
jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
wrong premises give wrong conclusions - you are asking the wrong question sir, hiyo ni tafsiri yako ya wivu...yaani ukute mpenzi wako anafanya mapenzi na mtu mwingine kisha ukisikia kitu kinachoma moyoni useme ni insecurity?