Wivu huu.....

Wivu huu.....

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
MKE; anamuuliza mumewe,hivi una wanawake wangapi huko nje?
MUME; kama nywele zangu..
MKE; akachukua nguo zake akaondoka, alipofika njiani akakumbuka kuwa mumewe ana kipara, akaanza kurudi mbio...
 
Teheh hahah kama asingekuwa na kipara anao mia wengne kasahau na majina hahah

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ukisikia waswahili wanasemaga wanawake mwalimu wao.........................
Jaza sehemu iliyo wazi.
 
Duh! Umeua mkuu!
Coz spati picha huo upara wa mmewe! Hako kapara kake ndio hakina ata nywele mbili!!!

MKE; anamuuliza mumewe,hivi una wanawake wangapi huko nje?
MUME; kama nywele zangu..
MKE; akachukua nguo zake akaondoka, alipofika njiani akakumbuka kuwa mumewe ana kipara, akaanza kurudi mbio...
 
Back
Top Bottom