Ili taifa liwe kitu kimoja katika vita hii ya kiuchumi napendekeza yafanyike maridhiano yatakayotoa fursa kwa wanasiasa kutoka vyama vyote kukaa meza moja ili yafanyike makubaliano ya nini kifanyike ili kuhitimisha miongo miwili ya kutofautiana ktk mambo ya msingi ya kitaifa.
Ni dhahiri kwa sasa kujaribu kumshambulia rais aliyepo %90 ya watanzania hawatakuelewa. Lakini rais ana fursa ya kufanya vizuri zaidi ya hapo. Awaite wapinzani akae nao meza moja ili kuwa na kauli moja juu ya maswala ya msingi ya kitaifa hasa kiuchumi. Kitakachojili ktk mijadala yao iwe faraja kwa watanzania.
Waweke siasa pembeni, Rais hana roho mbaya km baadhi ya watu wanavoweza kumfikiria. Si ajabu mtu km Tundu Lissu akawa ktk nafas muhimu kabisa ya chaguo lake ili twende kwa kasi.
Ktk siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
Dhamira ya Rais ni njema na kila mtu anajua, kama kuna mapungufu ni kwa kuwa pia si malaika.
Lowassa anajua.
Tundu Lissu ukiitwa mezani please be possitive mliokoe hili taifa