Wito: Tujiondoe CHADEMA

Wito: Tujiondoe CHADEMA

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,983
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.

Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.
 
Una akili sana wewe. Huu ushabiki is too much, sasa naona umeshika kasi. hakuna aliye mtakatifu hapa duniani sasa iweje hawa wanaojiita wanachadema wasione mapungufu ya chadema? au ndio kusema hayapo? acheni ushabiki bwana wekeni maslahi ya taifa mbele.
 
du. hizi ni pumba zingine. Badala ya kushauri wafuasi wapate kadi weye unashauri wajitoe.
 
duu sijui kama ni ushauli ulio bora, labda vijana waachane na chama kilicho zeeka kama CCM na kuhamia chama chao CHADEMA.
M4C Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
sio lazima kila mtu awe na kadi,chama lazima kiwe na wanachama wenye kadi ila pia lazima kiwe na mashabik,wakerereketwa etc.wa wapi wewe????
 
Bora ungekaa kimya kuliko kutuletea utumbo wa mjusi kama huu.

Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.
 
Mkuu tegemea matusi na kashfa nyingi sana kutoka kwa hawa pro-chadema na bado watakutukana hawa si unajua unakuta mmoja anamiliki account kumi kwa wakati mmoja hapa JF ndivyo sera za mtaa wa UFIPA zinavyosema MATUSI mbele
 
Sisi sote ni ndugu tatizo in ccm...........pipozzzzzzzzzzzzzz m4c inawakosesha raha.
 
Nadhani Mtuwenu alikuwa ana nia ya kuiangaliza CHADEMA na wanachama wake kwamba wawe tayari kukosolewa pale inapoonekana wamekosea ili CHADEMA kiwe na nguvu, kisiwe kama CHAMA cha raisi wetu sikivu.
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

mtu wenu hivi wewe ndo leo umejua kuwa hapa siasani ni full ushabiki? mi nilishagajua kitambo hata ziumizi kichwa tena, wanaiga strategy aliyotumia Obama
 
mtu wenu kakaa huwajui hawa hawaambiliki hawa hawa ni miungu watu ukifumua uozo wao tegemea matusi na kashfa ila hii sera yao ya kutokubali kukosolea inazidi kuwafunua macho watanzania kujua hiki ni chama cha aina gani
 
Last edited by a moderator:
Kwakuwa Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu......i mean tutafia Chadema
 
tuonyeshe njia kwanza jinsi ya kuwa neutral wa wizi na mauaji ya ccm ndio unyoshee vijana wa chadema kidole.TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO NDIPO UTAONA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO.
 
Kwa ushauri wako ni kama unasema kusiwepo na vyama sasa kama wanachama watajitoa hcho kitakua chama? Nani atakosolewa hapo? Watu wanakosoana ndani ya chama na si mpaka ujitoe kwanza.

Kumbuka watz wote kabla ya 1992 walikua ccm ama kwa uanachama au ushabiki na bado walikosoana. Kajipange uje tena wivu kwa cdm hatutaki. Hebu ww chagua wa kuwatoa na pia vyama vingine viikosoe cdm
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

Ni maslahi gani ya taifa unayomaanisha hapo kwenye RED au una maana ya uporaji wa raslimali za watanzania?
 
Mkuu tarehe uliyojoin JF ni tarehe muhimu sana kwangu!!!

nakuhurumia kwa matusi utakayoyapata leo. Kama vipi usifungue tena hii thread, iache iende yenyewe. Hao unaowapa ujumbe hawako katika state of mind ya kusikiliza jambo. nadhani majibu yauchaguzi ya 2015 ndio yatawapa fahamu kidogo...
 
Ni maslahi gani ya taifa unayomaanisha hapo kwenye RED au una maana ya uporaji wa raslimali za watanzania?

mkuu,ushabiki kwa vyama ulio pitiliza ni hatari kwa vyama vyenyewe,na kwa mustakabali wa taifa kwani unajenga vyama vipofu visivyoweza kujikosoa na kujisahihisha.
 
Back
Top Bottom